Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #181
Kwa vile umemtusi Mwalimu, heri tukupe live sasa ili ujijue kule unakoangukia.Ndivyo alivyowafundisha huyo babayo laanatullahi Nyerere ???
Kuna unajua yupo yupo wapi alifikiri hatokufa kama alivyowauwa wenzake , yeye na yule muuwaji Laanatullahi Jizi Mkapa.
Bado hili linalouwa sasa , ngoja vijana wamshughulikie siku zake zinahesabika
Kwa vile umemtusi Mwalimu, heri tukupe live sasa ili ujijue kule unakoangukia.
Mmejileta nyie kupitia kwa Seyyid Said, akifikiri mtalala huku afrika maisha raha mustarehe hata mkiwa marehemu.
Mmeikuta Tanganyika na tukawawowa.
Mtaendelea kuolewa huku Tanganyika ndo mujue hapa Zenj ni kwa Watanganyika na sio kwa waOman.
Yaps na tutaendelea kuwawowa!Si ndio tabia za babayo wa pii hizo kenge Laanatullahi Nyerere au vipi?
Hii dawa ni kali sana ....na inapenya na ni chungu na ni kweli....ova!Kweli wengi ukiwauliza kabila lako eti hawajui. Hi inatokana na kulelewa na mababa wa kambo ambao idadi yao haijulikani.
Mkuu inaonekana haujui Lissu aliongea maneno gani hadi Mzee Mtei kujitokeza hadharani na kukemea na kutoa angalizo au muon
Kama umemuelewa Mtei tatizo siyo kumkosoa Nyerere bali kumkashifu au kumtukana au kumdhalilisha au kumdhihaki.
Nyerere amekosolewa na wengi tu na bado atakosolewa, hiyo haijawahi kuwa dhambi au kosa. Tatizo unatumia lugha gani.
Kwenye kuchagua lugha ya kukosoa hapo Lissu amekosa karama hiyo, huwa anajisahau na kutumia lugha isiyo
Umenena haswa mkuu.Nyerere kafanya mazuri mengi, na ana makosa mengi tu.
Na alilalamika watu wanaangalia makosa yake, wanaacha kuangalia mazuri.
Hapo napingana naye, watu wanatakiwa waaangalie makosa ya viongozi. Bila kuangalia makosa ya viongozi hawawezi kuyarekebisha.
Mazuri hayahitaji kurekebishwa sana, hivyo hayatakiwi kupewa kipaumbele katika kuangaliwa.
Nyerere ninamuheshimu kwa mengi mazuri aliyofanya.
Lakini, nikisikia kuna mwanasiasa anamkosoa Nyerere, nashukuru kwamba kuna mtu ana uthubutu wa kumkosoa Nyerere.
Mtei hakueleza Tundu Lisssu alisema nini.
Sitaunga mkono kumtusi Nyerere. Nyerere alikuwa ni kati ya viongozi waliojiheshimu na kuheshimu watu sana, sana tu. Angeweza kuwa dikteta mkubwa lakini hakuamua kufanya hivyo.
Ukitaka kuelewa umuhimu wa Nyerere, na alivyojiheshimu, linganisha kauki za Nyerere na za Magufuli halafu uone tofauti. Kama rais Mwinyi alisema yeye ni kichuguu na Mwalimu Nyerere ni mlima Kilimanjaro, basi Magufuli ni punje moja ya mchanga!
Lakini, Nyerere katika siasa, alifanya makosa mengi tu. Hata yeye mwenyewe alikubali hilo.
Sasa kama Nyerere mwenyewe alikubali kwamba alifanya makosa (mfano alikubali utaifushaji wa mashamba makubwa ulikuwa na mapungufu makubwa, serikali iliyachukuwa bika ya kuwa na uwezo wa kuyaendesha).
Mtu kama huyo ambaye mwenyewe kakubali makosa, kwa nini wengine wasimseme makosa yake?
Lakini mbona Lissu huyo huyo pia amempa heshima sana Nyerere kwa kumnukuu mara nyingi sana, hususan kwenye mjadala mzima wa "maendeleo ya watu badala ya vitu", akimsifia Nyerere kwa kuelewa hili na kumsema vibaya Magufuli kwa kutoelewa hili?Umenena haswa mkuu.
Nyerere aliset standard ya uongozi ambayo bado haijafikiwa na waliofuata.
Lakini bado alikuwa na kasoro zake.
Tunalo mlaumu Lissu ni ule uthubutu wa kijinga wa kumtusi na kumdhrau Mwalimu.
Lisu ni kiongozi wa mihemuo na asiye na vision.
Ana elimu ndiyo lakini, he thinks after talking na si before talking.
Lissu alifikiri watu wamesahau matusi yake,.
Kiuhakika , anayopitia sasa ni a direct reflection ya the loose cannon he always carries in the form of a bad mouth.
Yaps na tutaendelea kuwawowa!
Hayo ya jadi ya kwenu na mliyokuja nayo, mwulize Seyyid Said aliyewaleta.Kwani mtu mwenye baba wawili huwa anaowa au kuolewa ?
Uzi wako unataka uongeze page lakini watu wameupuuza , bakia na mzimu wa baba yako wapili Laanatullahi kenge Nyerere,Hayo ya jadi ya kwenu na mliyokuja nayo, mwulize Seyyid Said aliyewaleta.
Anajua zaidi.
Niulize chogo lenye akili nyingi nitakuambia.
Hayo ni mawazo yako ya kijinga weye laanatullahi Gavana,wa kuja.Uzi wako unataka uongeze page lakini watu wameupuuza , bakia na mzimu wa baba yako wapili Laanatullahi kenge Nyerere,
Hayo ni mawazo yako ya kijinga weye laanatullahi Gavana,wa kuja.
Tutawashughulikia mpaka basi.
Kwa ujinga wako hujui uzi huu umeanza lini, mihemuko ndio inawaumiza kizazi chenu kilicholaaniwa.
Sasa basi, kila ya hoja ya kijinga utoayo itajibiwa kiufasaha, tukana upendavyo, maana ndivyo ulivyojaaliwa.
Wengine hawachangii huu upuzi wako maana wanaridhika jinsi ninavyokudhibiti barabara.
And who is that?Jidu la majambazi, the man with two fathers π π π π π
And who is that?
Anatoka unakotoka Mchamba wima?
Alimtusi au alimkosoa?Tundu Lissu alimtusi mwasisi wa Taifa.
Soma posti kwa makini humu.
Vyombo vilivyoasisiwa na Mwalimu viliahidi hafiki popote.
True as your father with 2 fathers!Jitu la majambazi, The man with 2 fathers π π π π
True as your father with 2 fathers!
Una pepo la ushoga ulirorithishwa na baba yako.Jitu la majambazi ,a man with 2 fathers.
Idd Amin alimwambia huyo baba yako wa pili kwa sauti yake nyororo angalimwoa ?Una pepo la ushoga ulirorithishwa na baba yako.
Njoo uombewe, utapona.
Una pepo la ushoga la mababu zako na lilirithishwa kwako na baba ysko.Idd Amin alimwambia huyo baba yako wa pili kwa sauti yake nyororo angalimwoa ?
Kumbe kenge alikuwa ni punga
Una pepo la ushoga la mababu zako na lilirithishwa kwako na baba ysko.
Njoo kwa Mwamposa ukanyage mafuta.
Utapona tu.