Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #201
Ushoga unakusumbua, kimawazo na kimatendo.Hivi nani alikupeleka kanisa la Nabii Tito,
Baba yako kenge Nyerere ?
Huna fikra nyingine, umegota.
Njoo uombewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga unakusumbua, kimawazo na kimatendo.Hivi nani alikupeleka kanisa la Nabii Tito,
Baba yako kenge Nyerere ?
Kutawaliwa na mawazo ya kishoga jamvini noma mwanangu!Idd Amin alimwambia huyo baba yako wa pili kwa sauti yake nyororo angalimwoa ?
Kumbe kenge alikuwa ni punga
Mkuu mada imeingiliwa na shoga mwenye pepo.Kutawaliwa na mawazo ya kishoga jamvini noma mwanangu!
Nimefuatilia mpangilio wako wa mawazo, huna jingine!
Tundu Lissu simuoni kama anafaa uraisi(hisia zangu). Ila Nyerere is overrated
Nilijua mtakuja kwani hampendi kusemwa vitendo vyenu wafuasi wa kanisa la nabii Tito, wala hapendi kusikia kuwa baba yako wa pili kenge Nyerere alitaka kuolewa na Idd AminKutawaliwa na mawazo ya kishoga jamvini noma mwanangu!
Nimefuatilia mpangilio wako wa mawazo, huna jingine!
Ushoga unakusumbua, kimawazo na kimatendo.
Huna fikra nyingine, umegota.
Njoo uombewe.
Hakumtukana, hao wanaosema hivyo wana akili finyu, yeye alimkosoa na hata Mwalimu Nyerere alikiri enzi za maisha yake kwamba kuna makosa aliyafanya wakati wa utawala wake na akaomba asamehewe, tumeshamsamehe.Tatizo kubwa la baadhi ya watu ni kufikiria kuwa watu wengine ni miungu watu na wanafaa kuabudiwa tu bila kukosolewa pamoja na makosa mengi wanayoyafanya kama binadamu.
Hili halikubaliki kwani hakuna mwanadamu yeyote aliyeumbwa kufanya mema tu siku zote. Hivyo Tundu Lissu kama alimkosoa Nyerere, (Japo hakumtukana kama waongo wengine wanavyodai humu), ni sawa kabisa kwani Nyerere hakuwa Mungu bali alikuwa ni binadamu tu kama wengine na ndio maana hatunaye humu duniani leo hii.
Nyerere kama binadamu yeyote alikuwa na mapungufu yake na ndio maana hakuweza kuishi milele sasa leo wengine kutaka kumtumia kama mtaji feki wa kisiasa ni ujinga tu na ufinyu wa mawazo.
Mfano tu ni kuwa kuna makosa makubwa matatu ambayo aliyafanya na athari zake zimekataa kuondoka hadi leo na inaonekana itachukua muda mrefu sana kwa hizo athari kuondoka.
1. Alilazimisha sera yake ya Azimio la Arusha na matokeo yake kudumaza kabisa uchumi na kuua uwekezaji.
2. Alibuni siasa mbovu ya Ujamaa na Kujitegemea kwa kumuiga dikteta Mao wa China na kupelekea kusondeka watu kwenye vijiji vya ujamaa kwa nguvu na kusababisha watu kupoteza mali na wengine kufariki dunia.
3. Alilazimisha vita na Uganda ili kumrejesha madarakani rafiki yake dikteta Milton Obote na matokeo yake kutia kitanzi uchumi wa nchi isipone hadi leo hii.
Hayo mapungufu yanatuonyesha vizuri kuwa Nyerere alikuwa ni mtu mwenye mapungufu tena sana tu na kuwa wasioweza kumkosoa ni wanafiki tu na wachumia tumbo kwani hakuwa Malaika.
Kwa sisi tunaoamini ktk ukuu wa Mungu kamwe hatutakubali ujinga au upumbavu wa mtu yeyote kuabudiwa kwani kufanya hivyo ni sawa na kuabudu sanamu na ni dhambi kubwa sana mbele za Mwenyezi Mungu.
You should not worship idols: Exodus 20:3; Leviticus 19:4; 26:1; Psalm 16:4; Isaiah 45:20; Jonah 2:8; Matthew 4:10; Luke 4:8; 1 John 5:21; Corinthians 10:14; Colossians 3:5; and Revelation 9:20 etc.
Wanadamu tumezidi sana kumchezea Mungu kwa kuwa hatumuoni kwa macho tunafikiri hayupo na badala yake watu tunaowaona kwa macho ndiyo tunafikiri ni yeye na tunathubutu eti kuwaabudu hadi viongozi wa kidini leo hii wanaabudu watu (Sanamu) tena mbele za waumini wao, very stupid. Tuache huu Upumbavu.
Lkn imetusaidia watz kuwa na discipline na nchi yetu Ina amani na Ina tawalika.Nyerere is overrated. Kwa umasikini huu wa kutupwa. Kuipeleka nchi vitani (akimpigania Obote arudi madarakani baada ya kupinduliwa Na IDD Amini). Nyerere alitengeneza kuogopeka na viongozi wa chini. Wakampamba .
Hint: katiba ya 1977
Udiwani,unapingika kortini
Ubunge,unapingika
Uraisi,hapana. Akitangazwa,imeisha hiyo.
Yeye alikuwa raisi. If you know you know
DefinitelyStill Mwalimu Nyerere, even in death, he is a major force.
Anaheshimiwa sana kwa kuweka misingi ya utaifa.
Mtukane kijinga at your own risk
Unazungumziaje kipengele cha ubunge/udiwani kupingika,uraisi kutokupingika(ambacho kiliwekwa wakati wake)?