Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

Shida ni taarifa ulizozikuta hapa duniani ndiyo zinakuchanganya ila siku ukija kujua kwamba haya mambo si halisi bali ni kiini macho tu utayafurahia sana maisha
Hebu relax acha kupambana usije ukapigwa na kitu kizito na akina Kiboko ya wachawi
 
Usiweke mambo ya imani sana kwenye haya maisha, usiweke matarajio sana ya kwamba sijui umebarikiwa, utainuliwa wakati ukifika, mambo yote yamepagwa hivyo huwezi badilisha na vitu kama hivyo.

Wewe ni wewe jipe furaha, tafuta amani ya moyo wako, tafuta maisha mazuri, kama una uwezo saidia watu na uwatendee watu matendo mema.
 
Hongera mkuu kwa bandiko fikirishi.

Ukisoma huu ujumbe kwa kutulia, utaona ni maswali anayohitajika kujiuliza binadamu yeyote mwenye kujitambua bila kujali hali yake kiuchumi.
 
Kusudio kuu la Mwenyezi Mungu kwa mwana damu ni kumpenda kumwabudu na kumtukuza.Mwenyezi Mungu ametuumba kwa mfano wake na akatupa uwezo wa kuvitawala viumbe vyote vya angani ,ardhi na maji.
Aliumba miti lakini hakukupa viti vitanda na vyote vitokanavyo na zao la mti.Huu ni mf mdogo tu.
Je waliogundua miti unaweza ukatibu ukatengeneza kabati ,ukatengeneza meli nk walikuwa si wanadamu?
Kufanikiwa ni matokeo ya kuumiza ubongo bila kuchoka.
Tunapoteza muda kuwaza mambo ya ajabu na kuishia kulaumu.
Uvivu wa kufikiri na kutokuchukua hatua kwa kila fikra inayokujia kichwani ndiyo chanzo cha umaskini.
Kujikatisha tamaa na uoga ni chanzo cha umaskini.
Chukua hatua umaskini ni kilema tena cha kuogopwa.
Watu wanazaliwa nchi zenye vita ila Bado wanatoboa ,upo Nchi yenye maziwa na Asali,mito,madini ,Amani ya nchi Ipo Bado unakata tamaa serious!!
 
Ahsante boss
 
Shida ni taarifa ulizozikuta hapa duniani ndiyo zinakuchanganya ila siku ukija kujua kwamba haya mambo si halisi bali ni kiini macho tu utayafurahia sana maisha
Hebu relax acha kupambana usije ukapigwa na kitu kizito na akina Kiboko ya wachawi
Ahsante boss
 
Ahsante bossss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…