Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

Unao wajibu wa kuitengeneza furaha yako mwenyewe. kamwe usiweke matarajio kwa mtu mwingine kukutengenezea furaha kwasababu ikiwa hivyo basi uwe tayari kulipia gharama ambazo zitaturn hiyo furaha uliyotengenezewa kua stress.
Keep going utafika tu
 
Ahsante
 
Pole mkuu. Naona upo katika tafakuri kubwa sana. Hizi changamoto ni lazima tupitie sababu ya background zetu. Kuna watu wanaishi poa sana tangu kuzaliwa mpaka kufa,
Issue ni Background
Kwa wingi na ukubwa wa yale madhila na maumivu tunayopitia wanadamu mtu unaweza kuhisi pengine dunia ipo kwenye auto pilot mode hivyo inajiendea tu yenyewe. Kwa wengi maumivu ni makubwa zaidi ya furaha.
 
Back
Top Bottom