Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

Hiyo tv e inapatikana kingamuzi gani mdau?
 
Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Download tune in
 
Millard Ayo hawezi kuondoka Clouds,aligoma kwenda BBC sembuse hao EFM hajafika ata hapo kibaha?

Milard Ayo ni mtangazaji wa habari za burudani huko BBC atatangaza kipindi gani na pia elimu yake ni ndogo kuajiriwa BBC
 
Milard Ayo ni mtangazaji wa habari za burudani huko BBC atatangaza kipindi gani na pia elimu yake ni ndogo kuajiriwa BBC

Kwani ni elimu inatangaza au ni uwezo wa mtu kutangaza? BBC walimtaka,yeye akawatolea nje.
 
Milard Ayo ni mtangazaji wa habari za burudani huko BBC atatangaza kipindi gani na pia elimu yake ni ndogo kuajiriwa BBC
Nani alikudanganya BBC wanaajiri wa elimu kubwa? Unamfahamu John Solombi? fuatilia alichukuliwa na BBC akiwa na elimu gani? Huyo Kekeke mwenyewe alijoin BBC akiwa na elimu ya kiwango gani? Mambo usiyoyajua bora kukaa kimya!
 
Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Zipo kadhaa tune in ila TCRA hairuhusu kama huna national broadcasting license huruhusiwi kustream online na waliomo wana national license Kama radio one,rfa,clouds,earadio etc kama unaisikia isiyo national online tafsiri yake wanavunja sheria kenya ni kenya na bongo ni bongo
 
Hivi hamna namna ya kuajiri kizazi kipya? Mbona wenye taaluma kama hizo wako mtaan wengi tu? Inashangaza sana Efm kuwania watangazaj na Clauds wakat vijana kibao wenye taaluma wako mtaan badala yake wanaajiri watu maarufu wasiokuwa na taaluma alaf wanategemea kuongeza wasikilizaji kuna watangazi uchwara wengi sana
 
Mleta thread mbona unataka kuogopa kweupe!!? Mpango wa kufungua TV upo lakini iko processed mpka mwakani ila hzo za TV kufanya kaz na kuwasajili watajwa juu Nina mashaka nalo..labda unifahamishe vizuri
 
Kuna watu asubuh wakati naongea kuhusu PJ walibishia sana! Lakini mchana kikaelewekaaa! Sasa hata hii nimeipata kwa mfumo ule ule nilio upata mchana! Nadhani ngoja tungoje tuone itakavyo kuwa
 
Reactions: Lee
[HASHTAG]#mchezo[/HASHTAG] hauhitaji hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…