Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Tunashukuru MSEMAJI WA MILLARDMillard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti
Mkuu kuna mtu kaiga avatar yako nilianza kushangaa post yake kuangalia jina tofauti ila katumia avatar ya Wash alipokuwa kijana zaidi.Sasa Millard nilifikiri akitoka Clouds ataanzisha TV yake.....why aende ETV?
Efm ipo kwenye live tream instal app ina itwa (Radio fm) upate uhondoHiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Josee kusaga atapanda dau mara 20 kulinda mkataba wa Millard Ayo.Millard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti
Mbona vyama vinaibia wenzao? Mara chukua chako mapema mara magwanda mara haki kwa wote. Pesa sabuni ya roho mwanangu mpaka Phd zinatupwa nje watu wanaanza kuwapigia magoti watoto zao. Mtu yupo tayari awe mkimbizi wa ihari sababu ya pesa. HUJAMBO?Hawa nao inakuwaje kugombea watangazaji??
Ruge kapaniki hatariiHawa nao inakuwaje kugombea watangazaji??
Millard nae ovyo tu, yaan ashakuwa na uwezo wa kujitegemea bado anakaa under someone huko ni kutojiamini kabisa mshauri ajitegemee ili apige hatua huyoMillard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti
Nashukuru kwa kuelewa. Naomba sasa tukubaliane kwamba kufeli form four haimaanishi mtu hawezi kujiendeleza. Ninazo taarifa kwamba Millard amesoma kiwango cha cheti, haiwezi kuwa kajiendeleza baada ya hapo? Kumbuka fursa za kusoma zimekuwa nyingi siku hizi, na wenzetu (Ulaya) ni tofauti na sisi wanatambua na kuzikubali njia nyingi za kujiongezea elimu!Uko sawa kwenye hili ni kweli alisoma Diploma sio degree. Milard Ayo alifeli form 4 huwezi ukalinganisha na Kikeke aliyekuwa na Diploma miaka ya 90s.BBC /DW miaka ya karibuni ajira zao elimu ni priority ndio mfano Michael Baruti, Anord Kayanda,Zuhura Yunus na Isaac Gamba walioajiriwa miaka ya karibuni wote shule yao huwezi linganisha na Milard Ayo
Maisha sio kukurupuka.Millard nae ovyo tu, yaan ashakuwa na uwezo wa kujitegemea bado anakaa under someone huko ni kutojiamini kabisa mshauri ajitegemee ili apige hatua huyo
Tv yao inaiteaje?Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!
Taarifa zaidi nitawaletea
Sijambo mama, sijui wewe.Mbona vyama vinaibia wenzao? Mara chukua chako mapema mara magwanda mara haki kwa wote. Pesa sabuni ya roho mwanangu mpaka Phd zinatupwa nje watu wanaanza kuwapigia magoti watoto zao. Mtu yupo tayari awe mkimbizi wa ihari sababu ya pesa. HUJAMBO?
Inaonekana kapaniki sana.Ruge kapaniki hatarii
Ea radio mpaka nimeamua kukiita chuo wao wanatengeneza wanaopenda vya kunyonga wanajibebea tuInaonekana kapaniki sana.
Wenzao EA Redio mbona huwa hawatetereki sana hata kama majembe yao yakichukuliwa.
Wapo online radioHiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com