BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
DuhJK ni tatizo Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhJK ni tatizo Tanzania
Unaweza ukasoma sana,ndani na nje halafu usielinike! Ukaishia kukisanya vyeti tu,elimu hakuna!Husda ya nini jombaa..!!
Hata mm sio ngumbaru shule ipo ya kutosha ya ndani na nje ya Tz na sasa ni mstaafu nanyonya pensheni tu.
Ndio maana nimesema wasomi wengi wao ni empty set sio wote.
Nawe ni msomi empty set nini?
Ndugu kwani kosa la Hando ni lipi ?Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Kwani kosa la Hando ni lipi ndugu ?Efm na tve ni biashara,na biashara haitakiwi kugombana na wanasiasa wenye mamlaka,hando Kama maoni yanamuwasha Sana alitakiwa ayatoe kweje kurasa zake au aanzishe media yake abwabwaje kutwa
Hili la hotuba za Nyerere kuzuiwa sikulijuaHayo yote ya kuzuia maoni ya watu na watangazaji wote na wamiliki wa vyombo vya habari wamepewa agizo kudhibiti uhuru wa habari ...sababu kuu ya sa100 na kikweti kufanya hivyo ni hofu ya kifo cha JPM..Ndiyo maana sa100 na kikweti wamepiga marufuku hotuba zote za nyerere na magufuli kusikika redioni .....
Sa100 na mzee wa msoga ni maadui kamili wa uzalendo kwao uzalendo ni mafiiii[emoji90][emoji90] na hivi ndivyo ilivyo siku zote inapokuwa chini ya waisiharamu ikulu lazima wasujudie mabeberu ya magharibi
Nchi inakopa hovyohovyo....nchi haiwezi kopa bila rais kuridhia/agiza,kwa rais afuataye utaratibu hafanyi maamuzi peke yake Bali taasisi ya urais,kusema nchi inakopa hovyohovyo ni kusema serikali inafanya mambo/endesha nchi hovyohovyo...Kwani kosa la Hando ni lipi ndugu ?
Jamaa namuonaga bonge la kichwa!!!kumbe ...Chezea asali wewe. Wenzako siku zote wanapigania ugali wao. Usije ukaona watu wanatoa povu humu ukadhani wana uchungu na Watanzania. Hata huyu mleta mada ipo siku atakushangaza.
Kwa kuzingatia kipengele cha uhuru wa kutoa maoni kosa lake hapo ni lipi ?Nchi inakopa hovyohovyo....nchi haiwezi kopa bila rais kuridhia/agiza,kwa rais afuataye utaratibu hafanyi maamuzi peke yake Bali taasisi ya urais,kusema nchi inakopa hovyohovyo ni kusema serikali inafanya mambo/endesha nchi hovyohovyo...
Siyo mbele ya asali. 90% ya walimuchukia Mwendazake ni kutokana na kuwakatia mirija. Waliamua kujificha kwenye kichaka Cha demokrasia, lakini ni watu ambao hawajawwahi kujali kuhusu Hilo. After all ni lini nchi hii imewahi kuwa na demokrasia!Jamaa namuonaga bonge la kichwa!!!kumbe ...
Kama mwanahabari akitumia chombo Cha habari,ametoa taarifa Hasi dhidi ya serikali,taarifa zonazochochea chuki dhidi ya serikali na kuifanya serikali ionekane haijui inachofanyaKwa kuzingatia kipengele cha uhuru wa kutoa maoni kosa lake hapo ni lipi ?
Athari za mikopo kwa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja haihitaji Masters kujua.Hando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.
Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu
Ki vipi Hando ame kitumia chombo cha habari ?.Kama mwanahabari akitumia chombo Cha habari,ametoa taarifa Hasi dhidi ya serikali,taarifa zonazochochea chuki dhidi ya serikali na kuifanya serikali ionekane haijui inachofanya
wajaribu kumfukuza awapeleke mahakaman wakaone kama hawajajuta wamfukuze sasa tuone au wanatishia kujamba.Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Maswali yako yanaonesha hujui mjadala unahusu niniKi vipi Hando ame kitumia chombo cha habari ?.
Ni taarifa gani hasi alizo toa Hando ?.
Ni taarifa gani alizo toa Hando zinazo chochea chuki dhidi ya serikali ?.
Ni ki vipi alicho ongea Hando kina ifanya serikali ionekane haijui kitu ?.
Sawa, usiku mwema.Maswali yako yanaonesha hujui mjadala unahusu nini
Hakuna popote Hando aliposema anatoa yale maoni yake kama mfanyakazi wa EFM, alitoa maoni yake personally, na hii angeifanya popote iwe twitter au pengine..Hajazuiwa kuandika chochote kwenye page yake wala kuchukua fomu kugombania nafasi yeyote kwenye chama chochote.... bado ana Uhuru mkubwa WA maoni na kushiriki siasa..
Asihusishe chombo ambacho muajiri wake hataki....mbona simple kabisa hii kueleweka?