eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nitumie screenshot
Screenshot_20231129-162659_Files.jpg
Screenshot_20231129-162706_Files.jpg
 
Nimejaribu kufatilia google inaonekana kuwa android version ya 11 haisapoti data na obb ,,ko labda kama kuna njia unaijua ya kufanikisha hili nisaidie
 
napendaga game la FM Football Manager

Wewe unakuwa ni kocha unanunua wachezaji na kupanga mfumo na kikosi

Wewe unabaki kuangalia kama kocha hubonyezi popote kucheza wapo automatic ila wanacheza kutokana na maelekezo yako ya mfumo na style ya uchezaji high pressing, counter attack, long pass, etc

Kila msimu unatumia mwezi mmoja na kupanda level na unabadilisha kikosi kizima kwenye dirisha la usajili

Top 4 msimu unaofuata wanacheza champions

5-6 ni cup ligi ina timu 14

Game lenyewe ni la online

Nishafunga Wanigeria na Wairan sanaaaa
 
Sawa mkuu, kila mtu na anachokipendaa👊
 
Back
Top Bottom