spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
DM Location au contact unaweza ukapata hata Pizza kutoka Pizza huttupeni hiyo mialiko πππau mtutumie hivo viparcel π
karibu sana dada yangu, nitakupokea mwenyewetupeni hiyo mialiko πππau mtutumie hivo viparcel π
Ahsante sana mkuu, karibu sana keshotunawatakia sikukuu njema yenye baraka na utulivu.
jambo la msingi ni kufuata yale yote mlio jifunza kwenye mwezi mtukufu.
Basi Bakwata wamepunja funga hawajatimiza 30Sunni wako sahihi ndo wenye dini yao
asante sana kakakaribu sana dada yangu, nitakupokea mwenyewe
pizza mpaka ifike kwetu inakua si pizza tena ππππDM Location au contact unaweza ukapata hata Pizza kutoka Pizza hut
Location yako wapi? πpizza mpaka ifike kwetu inakua si pizza tena ππππ
ngoja kwanza mkuuu πππutanichoma ukute nilikula nauliLocation yako wapi? π
Sijawahi kutuma nauli kwa Ke yeyote humu labda kama ni Soda au Vocha πngoja kwanza mkuuu πππutanichoma ukute nilikula nauli
sio kwako we udugu wangu nakulaje nauli sasaππSijawahi kutuma nauli kwa Ke yeyote humu labda kama ni Soda au Vocha π