spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Hawara kaniambia kesho nkale nyama ya bata
Hivi kweli ndo naenda kuharbu swaumu
Hivi kweli ndo naenda kuharbu swaumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DM Location au contact unaweza ukapata hata Pizza kutoka Pizza huttupeni hiyo mialiko 😂😂😂au mtutumie hivo viparcel 😂
karibu sana dada yangu, nitakupokea mwenyewetupeni hiyo mialiko 😂😂😂au mtutumie hivo viparcel 😂
Ahsante sana mkuu, karibu sana keshotunawatakia sikukuu njema yenye baraka na utulivu.
jambo la msingi ni kufuata yale yote mlio jifunza kwenye mwezi mtukufu.
Basi Bakwata wamepunja funga hawajatimiza 30Sunni wako sahihi ndo wenye dini yao
asante sana kakakaribu sana dada yangu, nitakupokea mwenyewe
pizza mpaka ifike kwetu inakua si pizza tena 😂😂😂😂DM Location au contact unaweza ukapata hata Pizza kutoka Pizza hut
Location yako wapi? 😂pizza mpaka ifike kwetu inakua si pizza tena 😂😂😂😂
ngoja kwanza mkuuu 😂😂😂utanichoma ukute nilikula nauliLocation yako wapi? 😂
Sijawahi kutuma nauli kwa Ke yeyote humu labda kama ni Soda au Vocha 😂ngoja kwanza mkuuu 😂😂😂utanichoma ukute nilikula nauli
sio kwako we udugu wangu nakulaje nauli sasa😂😂Sijawahi kutuma nauli kwa Ke yeyote humu labda kama ni Soda au Vocha 😂