Eid Mubarak to all Muslims
Hawara kaniambia kesho nkale nyama ya bata
Hivi kweli ndo naenda kuharbu swaumu
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia waislamu na wanajf wote sikukuu ya idd al-fitri njema.

Allah atukubalie amali zetu funga zetu na amali njema.

Pia tusisahau kwamba mwisho wa mwezi mtukufu sio mwisho wa ibada.

Mwenyezi Mungu atuwafikishe insha'Allah!!

P.s Karibuni tule sikukuu pamoja Babati.

032315261ca169a56069a2e978be1a74.jpg
 
Eid mubarak kwa Waislam wote,
Muwe na sikukuu njema ila sasa msifungulie mbwa...
 
Eid njema yenye furaha kwa wote, na kwako Mideko msisahau kutualika kesho kwenye pilao, tilishindwa kuwalika pasaka kwa vile mlikua kwenye mfungo msitulipie.
 
Back
Top Bottom