Sana kakosea sana mimi nina ndugu zangu wa damu wakristo sasa naanzaje kuwabagua ? Hatuwezi kuwa na taifa la namna hii hata siku mojaTabia zingine ni za kuambukizwa tu huko vichochoroni walikokulia, kuna waislam swala 5 wanaishi na wakristo kama familia moja, wanachangia hata ujenzi wa makanisa, sasa huyo kaja na jazba ya kijinga hiyo anajiona mjanjaaa
Huyo asipokemewa ni mtu hatari sana anapanda chuki za kijinga, kuna ma Mapadre wanasoma kwenye vyuo vya kiislam ili kuujua uislam unatofautianaje na ukristo, wapo waislam wanasoma biblia mwisho wa siku pande zote mbili zinazungumzia kupendana lakini yeye halijui hiloSana kakosea sana mimi nina ndugu zangu wa damu wakristo sasa naanzaje kuwabagua ? Hatuwezi kuwa na taifa la namna hii hata siku moja
Sasa bora huyu shekhe kuliko wewe wote mnafanana tabia90% ya Waislamu ni vichaa
Mchana nzi usiku mbu yaani balaa tupuRamadhani viboko vimetembea, eid kichambo kimefata.....masheikh ubwabwa mtatuua jamani
Uzuri mmoja hatuna shida na ubwawa wenu, lakini duh mnakuwaga wakali siku za pilau.Sheikh kashamaliza. Huwa naona mnajikomba komba sana. Makafir nyie.
View attachment 2959667
Kongole kwa kuliona hiloHakuna watu wapumbavu na wajinga kama hawa wavaa vilemba,ni bora uishi na mpagani na sio hawa watu,ni hatari sana.
DUnia bila uislamu ingekuwa pahala salama zaidi
Elewa point, akili za aliyeishia la nne na professor mwenye omani ya kiislam, upeo wao upo sawaHakunaga Professor aliyeishia la 4.
Umeandika Pumba/Mavi/Kinyesi
Hii siyo sawa hata kama tuna mapungufu yetu tujitahidi kuhimiza umoja hatuwezi kuwa na amani tukianza kubaguana kwa kabila au dini , shekhe kakosea
KWa dunia kwa sasa lazima tujifunze kuishi pamojaBut si ni makafir?
Muishi na makafir?KWa dunia kwa sasa lazima tujifunze kuishi pamoja
Kwa kauli hii inaonesha tayari nani mpumbavuHakuna watu wapumbavu na wajinga kama hawa wavaa vilemba,ni bora uishi na mpagani na sio hawa watu,ni hatari sana.
DUnia bila uislamu ingekuwa pahala salama zaidi
Why notMuishi na makafir?
Kwa nini muishi na Makafir?Why not
Hizo ni chuki zako tu zinakusumbua wangekuwa vichaa wasingeweza kushikilia uchumi wa nchi yako90% ya Waislamu ni vichaa