Sana kakosea sana mimi nina ndugu zangu wa damu wakristo sasa naanzaje kuwabagua ? Hatuwezi kuwa na taifa la namna hii hata siku mojaTabia zingine ni za kuambukizwa tu huko vichochoroni walikokulia, kuna waislam swala 5 wanaishi na wakristo kama familia moja, wanachangia hata ujenzi wa makanisa, sasa huyo kaja na jazba ya kijinga hiyo anajiona mjanjaaa