Karibu imeanza na Basi !!..uchoyo
Mchawi hali ya hewa, au town ni shangwe tu?Huna connection. Njoo maeneo.
Hiyo karibu haijamtoka moyoniKaribu imeanza na Basi !!..uchoyo
πππππSikuachi...
Kilichokushtua? We mbona uliamkia soup π
NakaziaHiyo karibu haijamtoka moyoni
Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ulitukaribisha jana, me nilikuwa bado sijaona mwezi π
Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ya kwako ilikuwa "basi karibu... Yan kaka vile umemsusia huo ukaribisho
Na nimeugomea huo ukaribisho..nasubiri wako Depal utakaokaribishwa na kina shabani eti!!Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ya kwako ilikuwa "basi karibu... Yan kaka vile umemsusia huo ukaribisho
Haha tuendelee kusubiri maana Shabani mwenyewe sijui katorokea wapiNa nimeugomea huo ukaribisho..nasubiri wako Depal utakaokaribishwa na kina shabani eti!!
We shabani embu kuja hapa..utoe mualiko.Haha tuendelee kusubiri maana Shabani mwenyewe sijui katorokea wapi
ππππ
Eeh unanawa hujaona sahani ya pilau?We shabani embu kuja hapa..utoe mualiko.
Nimenawa kabisa Hadi mikono imeanza kaukaπ
Huu ni wa kitofauti, I know you know π