Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

Bwahahahahaha Ajiandaa kuelekea masjid eti ila nimemjuza kasema atapitia hapa!
Ukae nae umchue vizuri kwa utamu na rrraha na si maumivu asee Umtibu mpaka apone kabisa utakaporidhia kumuachia sawa ukiona ahamie uko pia sawa!
Smart911 bebe siunajua nishakuruhusugi kitambo so usiniangushe!
Akuje kwa kukimbia, akijikwaa nitamchua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheri ya Sikukuu ya Eid el Fitr kwa watanzania wote.

IMG_20200524_062808_469.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi natoa mualiko ila kwa wanawake wenye chura tu na baby face..😉
 
Back
Top Bottom