Hawa viumbe daima hawana zuri. Umalize mapema wanalalamika. Ukichelewa anakuzulia neno.Kuna wadada wanajiskika vibaya sana akiona amefika kileleni halafu wewe bado unaendelea. Anadhani labda hakuvutii au pengine kule mahali kuna pwaya sana, kwahiyo huenjoy, anaweza kukuuliza maswali kibao! Yaani anapoteza confidence kabisa.
Lakini pia kuna wadada wengine wanaomaliza ndani ya dk tano halafu akimaliza hataki kuendelea anataka mpumzike kwanza, sasa na sisi tukiwa tunalalamika yote itakuwaje. Mengine muwe mnayaacha kama siri zenu ndani ya nyumba.