Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Mwanaume aliyekamilika anatakiwa kufika kileleni mara ngapi?

Haina kipimo, kwanza inategemeana na mazingira, mood, n.k

Hivi unategemea mtu aliye honeymoon na ambaye ameshaoa miaka mitatu watafanana?
 
Haina kipimo, kwanza inategemeana na mazingira, mood, n.k

Hivi unategemea mtu aliye honeymoon na ambaye ameshaoa miaka mitatu watafanana?

we piga bao tu kadri uwezavyo haijalishi!!!huwa haisomi ile kuwa mwisho ngapi.
 
Ukiweza piga hata 1000,ni wewe 2 na pumzi yako mkuu.
 
Mkuu kuna leo na kesho.. Akili kichwani mwako..!
 
pole bidada nimewahi kuwa na mtu for one year anafika mshindo hata dakika moja haifiki sembuse huyo wa nne then unalalamika. tukubali wenzetu wana matatizo
 
Mie napandia mpaka unajuta kunipa zaidi ya lisaa coz napiga bao kwa 2 in 1,yani kila bao 2 ndo napumzika coz nna maujanja ya kujibana na kurefusha game,warmly welcome mama u'l never regret,acha kupakwa shombo tu
 
hata uwe hodari kiasi gani wa staili mbalimbali za kufanya sex, au uwe mtaalamu wa kwenda chumvini lakini kama unakojoa haraka(mapema) wakati wa sex unaweza ukanonekana lofa kama sio **** kabisa! wale wataalamu tupeni dawa mbadala(sio ile kegel) ambayo mtu anaweza kuitumia na kumfanya achelewe kupiga bao mpaka hata dakika 20 mpaka 60 kwa bao la kwanza
 
pole bidada nimewahi kuwa na mtu for one year anafika mshindo hata dakika moja haifiki sembuse huyo wa nne then unalalamika. tukubali wenzetu wana matatizo

we ndo umekamilika?..mara ya mwisho kufika kibo na mawenzi lini?
 
aisee,may b mmezoea kfo cha mende 2,ile unawah. jarib ile ya kchicha aktaka ku ejaculate change styl eg ye chn we juu.
 
Hawa viumbe daima hawana zuri. Umalize mapema wanalalamika. Ukichelewa anakuzulia neno.Kuna wadada wanajiskika vibaya sana akiona amefika kileleni halafu wewe bado unaendelea. Anadhani labda hakuvutii au pengine kule mahali kuna pwaya sana, kwahiyo huenjoy, anaweza kukuuliza maswali kibao! Yaani anapoteza confidence kabisa.
Lakini pia kuna wadada wengine wanaomaliza ndani ya dk tano halafu akimaliza hataki kuendelea anataka mpumzike kwanza, sasa na sisi tukiwa tunalalamika yote itakuwaje. Mengine muwe mnayaacha kama siri zenu ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom