Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Tumia Asali ya nyuki vijiko viwili vya chai kila asubuhi na jioni angalau mara nne kwa wiki kaka. Pia kunywa chai yenye mdalasini japo kikombe kimoja kila jioni na weka asali badala ya sukari. Kama mdalasini ni tabu kupatikana, lemon grass (mchai chai) unaweza kusaidia pia. Punguza matumizi ya vileo na matumizi ya sukari ya kawaida. Fanya hivyo na matokeo utayaona ndani ya saa 48. Tafadhali toa mrejesho ili na wengine wajue nguvu ya asali na mdalasini.
nafikiri yaweza ikawa kwani congo majina ya kitu yanatokana na kiswahili chao kibovu na jinsi kitu hicho kitakavyovuma , mfano hii ni unga jinsi inavyojulikana lakini wao wanaita BUNGA
Dakika 45 zote za nini?
ni kweli kaka , majina ni mengi kama ujuavyo, hata mimi nimewauzia watu wengi na wamefurahia sana, na kama ujuavyo wengi wana matatizo hayo. na wengi wametapeliwa na ndiyo maana bunga ndiyo mkombozi pekeeKaka hiyo kitu ya congo nishaisikia inaitwa kasongo ni balaa. Ukirudi dar njoo na kilo kama 3 uniachie mzigo niwauzie vijana wasiojiamini..kaka tutatengeneza pesa ndani ya muda mfupi sana hasa ukichukulia ni mitishamba na haina madhara kama zile za madukani na pia huimarisha ukubwa wa mashine. Karibu pm my businez patna.
Unataka tiba ipi? ya pre mature ejaculation or nguvu za kiume? uzi unajikanganya!
Ivi kumbe kuna tofauti kati ya premature ejaculation vs upungufu wa nguvu za kiume e?
Ulikuwa hujui hilo?
basi wewe hujui english.
Em niambie, pre mature ejaculation kwa kiswahili ni nini?
Doooh! Hiyo puli ndio imekupa majanga