Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Tumia Asali ya nyuki vijiko viwili vya chai kila asubuhi na jioni angalau mara nne kwa wiki kaka. Pia kunywa chai yenye mdalasini japo kikombe kimoja kila jioni na weka asali badala ya sukari. Kama mdalasini ni tabu kupatikana, lemon grass (mchai chai) unaweza kusaidia pia. Punguza matumizi ya vileo na matumizi ya sukari ya kawaida. Fanya hivyo na matokeo utayaona ndani ya saa 48. Tafadhali toa mrejesho ili na wengine wajue nguvu ya asali na mdalasini.

Hapo kwenye red vipi akitumia asali ya dondola?
 
nafikiri yaweza ikawa kwani congo majina ya kitu yanatokana na kiswahili chao kibovu na jinsi kitu hicho kitakavyovuma , mfano hii ni unga jinsi inavyojulikana lakini wao wanaita BUNGA

Kaka hiyo kitu ya congo nishaisikia inaitwa kasongo ni balaa. Ukirudi dar njoo na kilo kama 3 uniachie mzigo niwauzie vijana wasiojiamini..kaka tutatengeneza pesa ndani ya muda mfupi sana hasa ukichukulia ni mitishamba na haina madhara kama zile za madukani na pia huimarisha ukubwa wa mashine. Karibu pm my businez patna.
 
Kwa wale wanayo hitaji Dawa ya kuchelewa kumwaga kuanzia dakika 25 mpaka dakika 40 Dawa inaitwa Super Stag 18000 ipo inauzwa dollar 50 pamoja na gharama za usafirishaji inatoka nje ya nchi. Hiyo hapo chini picha pamoja na video yake Kwa Mwenye kutaka Dawa hiyo wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Stag_18000.jpg

Delay Delay Spray 40 ml Super Stag 18000



Price: $ 50.00


Stag 18000 Delay Spray For Men Anti Premature Ejaculation Spray 40 ml

Cause of Premature Ejaculation and Sexual Abuse Outgoing Most Effective Solution To Streamline Your Life! ...

About 30 minutes before entering the penis before sexual activity called mushroom head portion 3 by tightening the apply time. Apply in

the same way again after 15 minutes, and follow the start of sexual activity.

Experience a delay of approximately 25 to 40 minutes.

18000 Stag Retardant Spray Delay prevents premature ejaculation

18000 Stag Delay sexual activity Retardant Spray provides maximum enjoyment avoid as many
18000 Stag Retardant Spray Delay due to delay ejaculation will please your partner
18000 Stag Delay Delay Spray is used in the area or partner does not cause any skin irritation
18000 Stag Retardant Spray Delay after using oral to do.
18000 Stag Retardant Spray Delay sexual activity at least 3 or 4 times the normal time longer.






 
Last edited by a moderator:
Kaka hiyo kitu ya congo nishaisikia inaitwa kasongo ni balaa. Ukirudi dar njoo na kilo kama 3 uniachie mzigo niwauzie vijana wasiojiamini..kaka tutatengeneza pesa ndani ya muda mfupi sana hasa ukichukulia ni mitishamba na haina madhara kama zile za madukani na pia huimarisha ukubwa wa mashine. Karibu pm my businez patna.
ni kweli kaka , majina ni mengi kama ujuavyo, hata mimi nimewauzia watu wengi na wamefurahia sana, na kama ujuavyo wengi wana matatizo hayo. na wengi wametapeliwa na ndiyo maana bunga ndiyo mkombozi pekee
 
Ivi wataalam wamependekeza dawa gani kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?

Ukiachilia mbali hawa wajasiriamali wanaojitangaza kila kukicha kuwa wanatibu kwa ku2mia herbalistic formula..
 
Unataka tiba ipi? ya pre mature ejaculation or nguvu za kiume? uzi unajikanganya!
 
Unataka tiba ipi? ya pre mature ejaculation or nguvu za kiume? uzi unajikanganya!

Hapo sasa,kichwa cha habari 'Kiwanja kinauzwa',ukifungua ujumbe unasema samaki aina ya kibua wanapatikana kwa wingi soko la Ikwiriri.
 
Ivi kumbe kuna tofauti kati ya premature ejaculation vs upungufu wa nguvu za kiume e?
 
basi wewe hujui english.
Em niambie, pre mature ejaculation kwa kiswahili ni nini?

pre mature ejaculation kwa kiswahili ni kufika mshindo/kumwaga mapema (ili iwe classified as pre mature means you ejaculate within anytime less than 2 min tangu uingize au wakat mwingine bila kuingiza) inaweza ikawa ni sekunde au dakika moja au mbili tu ushapiga bao...
upungufu wa nguvu za kiume ni kutokuwa na uwezo wa ku-erect, au you erect but haiwi strong, au huna hamu ya kukutana kimwili/kufanya mapenzi.
sababu za upungufu wa nguvu za kiume ni nyingi kama ilivo sababu za kupata pre-mature ejaculation...sasa sijui wewe ulitaka usaidiwe tatizo lipi..
 
Habari wadau.
Hivi hili tatizo la kuwahi kupiss ndani ya kuanzia dakika 3 mpaka 5 linatibiwa vp wakuu. Maana ni hatari aisee. Kama ni dawa au daktari tupeane ma info aisee.

Flash back: Nimepiga sana puli before.
 
Back
Top Bottom