Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Tumia Asali ya nyuki vijiko viwili vya chai kila asubuhi na jioni angalau mara nne kwa wiki kaka. Pia kunywa chai yenye mdalasini japo kikombe kimoja kila jioni na weka asali badala ya sukari. Kama mdalasini ni tabu kupatikana, lemon grass (mchai chai) unaweza kusaidia pia. Punguza matumizi ya vileo na matumizi ya sukari ya kawaida. Fanya hivyo na matokeo utayaona ndani ya saa 48. Tafadhali toa mrejesho ili na wengine wajue nguvu ya asali na mdalasini.
Hapo kwenye red vipi akitumia asali ya dondola?