El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Lukasi akija hapa atakwambia ambeberu wanatuonea wivu kwa sababu tunafanya vizuri kuliko wao
 
Tanzania matopeni again

Hawa Wazanzibar wanatake advantage. Few years ago kuna Melissa nyingine iliyosajiliwa ZNZ ilikamatwa ikiwa imebeba bidhaa za Iran ambayo ina vikwazo.

Hivi intelligence ya Trump imeukosaje huo mzigo?
 
Sio kweli, Tanzania Tanzania ina register mbili za meli. Kwa Tanzania Bara ina closed registry, hii ina masharti magumu ya usajili ikiwemo sharti la mzawa kuwa mmoja wa wamiliki. Zanzibar ina open registry, hii ni njia rahisi na isio na masharti. Kwa njia hii ya pili, mtu anaweza kusajili meli ambayo wala haikuwahi kufika Tanzania wala kukaguliwa ubora wake, kikubwa tu alipe fedha ya usajili.
Meli zinazosajiliwa Zanzibar kwa masharti nafuu ndio kila mara zimekuwa zikikamatwa kutokana na makosa mbalimbali. Suluhisho ni kuondoa huu mfumo wa open registry ambao huficha wahalifu.
 
Mbona unalazimisha vitu amabavyo havipo hakuna Tanzania National yoyote aliyekamatwa au kuhusishwa.
Mkuu haya majibu yako ungemfafanulia Msemaji wa Serikali, huku unapoteza muda hakuna wa kukuamini
 
Wewe unadhani huo mfumo wa Open waliouweka ni wajinga kama wewe😀😀
 
Tanzania imekuwa inahusishwa na meli za
Tunaambiwa serikali ya Tanzania Ina trenikadhaa SGR mchongo ko na kawaida na Ile Kigoma, Ina vivuko kadhaa, Ina meli kadhaa ziw Victoria, Tanganyika, na Nyasa, Ina Ndege kadhaa. MBONA hatuambiwi Ina meli ngapi bahari ya Hindi... zaidi tuliwahi kuambiw meli kutwa meno ya tembo.

Yaani habari imenivuruga Hata sijui nimeandikani nini!
 
Ni kweli mwizi ni aliyekamatwa na ngozi na kwa hili la meli ni Tanzania. Kinachosumbua ni kwamba mapato ya usajili wa meli ni ya Zanzibar tu. Kwa maneno mengine Mtanganyika analipa gharama za uhalifu asiohusika nao.
Ni kweli Mtanganyika kwa jina la Tanzania, kimataifa ndie mzazi wa Zanzibar, na ndiye mdhamini wa Zanzibar katika issues zote za Kimataifa, hivyo mtoto akiboronga, ni baba ndiye ana wajibika chini ya kanuni ya fiduciary responsibility kwa wajibu wa mzazi kwa mtoto, kosa ni la mtoto, lakini anayewajibika ni mzazi!。
P
 
Ukiniuliza mimi nitasema hata "Panya Road" ilikuwa ni project yenye ufadhili maalum.
 
Sasa tumeona hela za kuhonga wenzetu wanatoa wp eti mtu anakaa ghorofa ya kupanga lakini ana honga gari ya mil 400 tena mbili na biashara yake sinza😅😅😅
 
Mzee wa msoga sasa hv yupo kimataifa zaidi, huu n ushindi mkubwa kwa awamu hii ya ushetani hapo jijini Tanzagiza nchini Kazimkazi
Tusifueahie watakuja na kodi mpya kwa hasira ya kupoteza mzigo hadi hela yao irudi
 
Mafisadi papa wa CCM Wameshikwa papaya wanasema ile meli imesajiliwa Zenji... sasa Zenji ni nchi? au ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…