Electrical eel samaki anayetoa umeme

Electric eel, huyo samaki ni 'bad news'. Kuna video YouTube anampiga shoti mamba wa ukubwa wa wastani. Yule mamba alikufa ndani ya dakika 1. Ila kuna wahuni wanamvua na kumla. Wanamvutia mahali kwenye shimo la maji pembeni ya mto, akiingia tu, wanamtia marungu kadhaa, akifa ndio wanamshika sasa kuandaa kitoweo.
 
Nasikia anaongeza nguvu za kiume mara kumi ya vumbi la kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…