Electrical eel samaki anayetoa umeme

Electrical eel samaki anayetoa umeme

picha yake tumuone
Mama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847]
200px-Electric-eel2.jpeg
MS_3772.jpeg
electrophorus_electricus_2.jpeg
electrophorus_electricus_3.jpeg
Electric-eels-1.jpeg
 
Attachments

  • electrophorus_electricus_3.jpeg
    electrophorus_electricus_3.jpeg
    22.9 KB · Views: 3
Electric eel, huyo samaki ni 'bad news'. Kuna video YouTube anampiga shoti mamba wa ukubwa wa wastani. Yule mamba alikufa ndani ya dakika 1. Ila kuna wahuni wanamvua na kumla. Wanamvutia mahali kwenye shimo la maji pembeni ya mto, akiingia tu, wanamtia marungu kadhaa, akifa ndio wanamshika sasa kuandaa kitoweo.
 
Nasikia anaongeza nguvu za kiume mara kumi ya vumbi la kongo
 
Back
Top Bottom