Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

Ni aibu na fedheha mwanaume kulishwa na mkewe SIRA 25;22
Hivyo vitabu haviko "inspired" na Roho wa Mungu.

Viliondolewa kwa sababu mafundisho yake mengi yamejaa hekima za binadamu na yana contradict mafundisho ya Bwana Yesu.

Kwa mfano: Bwana Yesu na Mitume wake (mainly Paulo) alipinga mambo ya mme na mke kuachana.

Lakini huyu Bin Sira anatuambia tuwaache wake zetu ikiwa ....

"Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka." (Bin Sira 25:26)
 
Ila Mabaharia wanapopita Nchi tofauti tifauti kila kituo meli ikitia nanga wananunua kitu kipyaaa wakimaliza wanaendelea na safari
 
Ila Mabaharia wanapopita Nchi tofauti tifauti kila kituo meli ikitia nanga wananunua kitu kipyaaa wakimaliza wanaendelea na safari
Ushasema mabaharia! Hivyo hao wakikutana na wanamaji wenzao inakua biashara! Makahaba hata biblia walikuwapo!
 
Ushasema mabaharia! Hivyo hao wakikutana na wanamaji wenzao inakua biashara! Makahaba hata biblia walikuwapo!
Mabaharia wa Nchi kavu pia wapo ndio maana kuna Bandari ya Bubu za Nchi kavu usijisahaulishe mkuu

Au hujui?
 
Hiki kitabu kipo kwenye vile vitabu 73 kweli au ni kitabu kipya?
 
Mwanaume anatakiwa kula Kwa jasho.

Hata kama mkewe anamtunza lakini lazima mwanaume awajibike.

Ishu ya kumtunza mwingine inategemeana na nani Anauwezo kumshinda mwenzake.

Bu. Khadija Mke WA Mtume Muhammad alikuwa na Mali nyingi na mfanyabiashara mkubwa kuliko Muhammad mwenyewe.
 
Ndiyo maana nikasema kumtunza mke haipo kwenye pesa tu! Kama huna pesa mke anahudumiwa kwa kumfulia, kumpikia, kulea watoto hata kumsindikiza kazini!
 
Kipo kwenye Catholic bible - 73 books

Madhehebu mengine yanatumia Biblia - 66 books
Mmh una uhakika?

73-7=66

7 ni:

1. Baruku
2. Yoshua Bin Sira
3. 1 Makabayo
4. Tobit
5. Yudith
6. Hekima
7. 2 Makabayo

Ndio hicho nilichokiwekea tick au?
 
Mmh una uhakika?

73-7=66

7 ni:

1. Baruku
2. Yoshua Bin Sira
3. 1 Makabayo
4. Tobit
5. Yudith
6. Hekima
7. 2 Makabayo

Ndio hicho nilichokiwekea tick au?
Nyumba ni msingi!
Msingi wa uumbaji upo kitabu cha mwanzo!
Huko ndiko dunia iliumbwa na vyote vilivyomo!
Na maelekezo ya kuishi yaliwekewa msingi katika kitabu cha Mwanzo
 
Nyumba ni msingi!
Msingi wa uumbaji upo kitabu cha mwanzo!
Huko ndiko dunia iliumbwa na vyote vilivyomo!
Na maelekezo ya kuishi yaliwekewa msingi katika kitabu cha Mwanzo
Asante mkuu nmekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…