Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wana wivu sana
Wacha wateseke hawana kismat
Wacha wateseke hawana kismat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI WIVU TU UNAWASUMBUA!Wana wivu sana
Wacha wateseke hawana kismat
Hivyo vitabu haviko "inspired" na Roho wa Mungu.Ni aibu na fedheha mwanaume kulishwa na mkewe SIRA 25;22
Ila Mabaharia wanapopita Nchi tofauti tifauti kila kituo meli ikitia nanga wananunua kitu kipyaaa wakimaliza wanaendelea na safari1. Pussy/papuchi is not a tradable item;
2. Relationship is not an employment or source of income:
3. No body is responsible for your adult life save your parents: and
4. When you start exchanging love and private parts in return for money, you are no longer a lady, but a business woman commonly refered to as prostitute
Ushasema mabaharia! Hivyo hao wakikutana na wanamaji wenzao inakua biashara! Makahaba hata biblia walikuwapo!Ila Mabaharia wanapopita Nchi tofauti tifauti kila kituo meli ikitia nanga wananunua kitu kipyaaa wakimaliza wanaendelea na safari
Mabaharia wa Nchi kavu pia wapo ndio maana kuna Bandari ya Bubu za Nchi kavu usijisahaulishe mkuuUshasema mabaharia! Hivyo hao wakikutana na wanamaji wenzao inakua biashara! Makahaba hata biblia walikuwapo!
Hiki kitabu kipo kwenye vile vitabu 73 kweli au ni kitabu kipya?Hivyo vitabu haviko "inspired" na Roho wa Mungu.
Viliondolewa kwa sababu mafundisho yake mengi yamejaa hekima za binadamu na yana contradict mafundisho ya Bwana Yesu.
Kwa mfano: Bwana Yesu na Mitume wake (mainly Paulo) alipinga mambo ya mme na mke kuachana.
Lakini huyu Bin Sira anatuambia tuwaache wake zetu ikiwa ....
"Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka." (Bin Sira 25:26)
Habari wadau!
Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao!
Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi!
Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha kutumia majina hayo moyo wake unaongozwa na wivu tu! "Wakuona kwanini mwanaume mwenzake anapendwa katika hali ya ufukara"
Maelekezo ya Kimungu kwa wanandoa hayakubagua nani awe na fedha nyingi kuliko mwenzake! Yoyote anaweza kuwa na fedha! Mungu aliamuru HAYA
Ukisoma kwa kutulia kitabu cha mwanzo 3:1-24 utaona vile mungu alielekeza majukumu!
Kiufupi Mungu alisema hivi!
1. Eewe NYOKA utakuwa na uadui mkubwa na huyu MWANAMKE na uzao wake! Atakuponda kichwa nawe utamponda kisingino. Na hili litaendelea kwa wote tuliozaliwa na MWANAMKE tukiona nyoka lazima tuwaze kupiga kichwa naye nyoka tukiingia kwenye anga zake atatuponda, hii vita inaendelea kwa watu wote bila kujali fedha, jinsia au Mario! Almradi tu uwe umezaliwa na MWANAMKE basi umeingia vitani
2. Adhabu ya pili; MWANAMKE alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu na nyege! Nanukuu kama ilivyoandikwa "Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
Hii inamhusu MWANAMKE peke yake kwamba atakuwa na nyege kwa mwenza wake, atakunwa na hata akipata mimba atazaa kwa uchungu, HAPO ndipo kwa mbaali unaona UMHIMU WA MWANAUME! Nawaambiaga wanaume wenzangu ambaye anaruhusiwa hata KUHONGA ni mke siyo MWANAUME!
Ni udhaifu tu wa KIUME tumeujenga kwamba ili upate UTELEZI LAZIMA UHONGE hii haipo! Udhaifu tu wa wanaume umesababisha TUHONGE! lakini nyege zao ni mpango wa Mungu.
NOTE; MWANAMKE pamoja na adhabu ya kwanza na pili haikuzuiwa yeye kutafta PESA au kuwa tajili ni ruksa kwa wote atakayejaaliwa.
3. Adhabu ya tatu ni kwetu wanaume!
Tena adhabu inaanza kwa kusema! KWASABABU umemsikiliza huyo MWANAMKE! basi UTAKULA KWA JASHO! Utailima ardhi ili upate KULA YAKO! Elewa neno Utakula, siyo kwamba utamlisha na mkeo HAPANA! UTAKULA KWA JASHO ilikuwa maelekezo ya Mme kwamba hakuna atakayemuonea huruma akilia njaa!
Hii inamaanisha kwamba ukiona sasa unaweza kula kwa jasho na vikabaki basi ndipo unaweza kumrisha na aliyekaribu yako yoyote awe mkeo,rafiki n.k
ADHABU NYINGINE INAYOWAHUSU WOTE NI HII asiyefanya kazi na Asile! Uwe mwanamke au mwanaume Usipofanya kazi na USILE na usipo kula UFE!
Swali kazi ni nini?
Kazi ni kitu chochote kinachosaidia maisha ya wengine yasonge!
Mfano! Kama huna ajira serikalini basi jiajili, kama huna mtaji basi kaa nyumbani fagia , deki, fua nguo mpigie pasi mwenzako akalete pesa mpate KULA, hii haina jinsia!
Kama mkeo anatoka basi hakikisha unamfulia , watoto waogeshe, hiyo ni ajira indirect unamfanya mwenzako akirudi awe na amani asiwe na stress!
Kama ni Mme baada ya hayo ya usafi na upishi nyumbani UNAKUMBUSHWA kumsaidia mwenzako kumtoa NYEGE ambazo ni adhabu ya kimungu juu yako! (Atakutamani)
Hapo utagundua HAKUNA UMARIO, HAKUNA CHA GANDA LA NDIZI HAKUNA MWANAUME SURUALI N.K
Tena wanawake nawamegea siri mwanaume Mario ndiyo haswa anakupa amani ya moyo kama Mungu alivyoagiza! HAO VIDUME WANAOJITUTUMUA KUWAHONGA WACHUNENI Halafu nendeni mkale na Mario wenu nyumbani! Maana hakuna andiko limesema MWANAUME UTAPATA PENZI KWA HONGO!
PENZI NI BUREEE! Kuwaita watu MARIO NI WIVU TU! Na WANAWAKE MSIDANGANYWE MKAACHIKA kwa kufuata mkumbo wa jamii! Jamii ni yule muovu aliyewadanganya hadi mkapaewa adhabu Mara mbili mbili!
Ukimuacha huyo wanayemuita wao MARIO watamdaka wao,!
Mario kwao ila kwako ni mmeo kazi nyumbani anaiweza, MARIO Kwao ila kwako ni mkurugenzi mkuu wa familia, Mario kwao ila kwako huyo ni Amri jeshi mkuu wa ulinzi wa familia yako!
Wajibu wa MWANAUME kibiblia ni KICHWA CHA familia! Sifa kuu ya kichwa ni kufikili na kumshauri mkeo siyo kupiga, sifa kuu ya kichwa ni kuwa na akili ya utambuzi! Sifa kuu ya kichwa ni kupenya! Jukumu jingine Mungu alimpa Mme ni kumpenda mke, Unayempenda huwezi KUMFOKEA FOKEA OVYO Wala huwezi KUMPIGA
Wajibu wa mwanamke ni UTII kwa MMEWE! Utii ni kumheshimu mme, kumsikiliza Mme, mwanamke mtiifu habani, Anapanua yote ya moyoni kwa mumewe tu!
Sasa hayo yote yasipofanyika kote ni ngumu! MWANAUME hatompenda Mwanamke JEURI, na mwanamke Kamwe hatomuheshimu mwaume asiye mpenda!
MARIO SIYO KWAMBA HAFANYI KAZI hapana KAZI ANAFANYA Kwenye msingi wa kifamilia.
UKITAKA KUJUA UZURI WA MARIO ANAFANYAJE KAZI MUOMBE MKEWE UWE MKE WA PILI ndipo utajua Haujui!
Huko India wanawake wanachumbia waume, na mahali wanatoa wao!
Epukeni maneno yaliyojaa Wivu kutoka kwenye jamii hayana tofauti na yule NYOKA katika bustani ya edeni
Fedha ni sawa na madaraka tu! Anapewa yoyote! Ili atumie na watu wake!
Kama kwenye ngazi ya familia mke akiwa na pesa kutuzidi mnatuita Mario, Inamaana mataifa yanayoongozwa wanawake wanainchi hawaishi?
Tuisihi jamii ifute ubaguzi huu kwasababu unaharibu ndoa nyingi sana
Kipo kwenye Catholic bible - 73 booksHiki kitabu kipo kwenye vile vitabu 73 kweli au ni kitabu kipya?
Ndiyo maana nikasema kumtunza mke haipo kwenye pesa tu! Kama huna pesa mke anahudumiwa kwa kumfulia, kumpikia, kulea watoto hata kumsindikiza kazini!Mwanaume anatakiwa kula Kwa jasho.
Hata kama mkewe anamtunza lakini lazima mwanaume awajibike.
Ishu ya kumtunza mwingine inategemeana na nani Anauwezo kumshinda mwenzake.
Bu. Khadija Mke WA Mtume Muhammad alikuwa na Mali nyingi na mfanyabiashara mkubwa kuliko Muhammad mwenyewe.
Mmh una uhakika?Kipo kwenye Catholic bible - 73 books
Madhehebu mengine yanatumia Biblia - 66 books
Nyumba ni msingi!Mmh una uhakika?
73-7=66
7 ni:
1. Baruku
2. Yoshua Bin Sira✓
3. 1 Makabayo
4. Tobit
5. Yudith
6. Hekima
7. 2 Makabayo
Ndio hicho nilichokiwekea tick au?
Asante mkuu nmekuelewaNyumba ni msingi!
Msingi wa uumbaji upo kitabu cha mwanzo!
Huko ndiko dunia iliumbwa na vyote vilivyomo!
Na maelekezo ya kuishi yaliwekewa msingi katika kitabu cha Mwanzo
na mwanamke kuilisha nchi kwa kuomba misaada nje sio aibu?Ni aibu na fedheha mwanaume kulishwa na mkewe SIRA 25;22
Kuomba ni aibu mno hata kama angekuwa mwanaumena mwanamke kuilisha nchi kwa kuomba misaada nje sio aibu?
tufanye nini hi nyau inayozidi kuomba kututia aibuu?Kuomba ni aibu mno hata kama angekuwa mwanaume
Tatizo mtazamo, kuna watu hawaamini tunaweza bila msaada, na hata madhara ya misaada hatuyajuitufanyeje hii nyau inayozidi kuomba kututia aibuu
The same applyna mwanamke kuilisha nchi kwa kuomba misaada nje sio aibu?