PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
 
Hivi ujue kuna vitu hata kwenye logic hatuna kabisa.Hivi taifa ambalo 50% kwenda juu ya bajeti hiko financed na hao imperialists unawezaje kupanua mdomo kusema unaonewa wivu

Ni sawa una mke alafu jirani awe anawasaidia matumizi then kesho utangaze jirani anakuone wivu.Sio uchizi huu jamani
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
A. Colonialists enzi za ukoloni ndio hao mabeberu.

B. Wana sifa ya hadaa unyonyaji na wanatumia nguvu wakati mwingine kutaka kile wanachokitaka.

C. 1. Wana-distract focus (dira) ya nchi kupitia uongozi.

2. Vitishio vya usalama nchini.
 
Ni kweli, ila tatizo letu ni box la kura kuchezewa, na watu kutekwa. Ukirudi ujue haku a wajinga wa hivyo. Unaweza kujibu kwa ile id yako pia.
DEMOKRASIA NI MFUMO WA MABEBERU AMBAO WALIUANZISHA ILI UWASAIDIE KUWAGAWANYA NA KUUANA NYIE KWA NYIE ILI WAO WAJE WACHOTE NA KUIBA MALI KIRAHISI

LEO WEWE UNANICHUKIA MIMI KISA SIASA ILA KAMA KUNGEKUWA HAKUNA HIZI SIASA MIMI NA WEWE TUNGEKUWA KITU KIMOJA

I WILL BACK
 
A. Colonialists enzi za ukoloni ndio hao mabeberu.

B. Wana sifa ya hadaa unyonyaji na wanatumia nguvu wakati mwingine kutaka kile wanachokitaka.

C. 1. Wana-distract focus (dira) ya nchi kupitia uongozi.

2. Vitishio vya usalama nchini.
Hii ni nadharia... Elezea Kwa mifano halisi hapa Tanzania wanafanyaje kutuhujumu?

Halafu tukijadili hoja zako,
1. Wana njia za hadaa.
Inakuwaje kama Taifa Kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru wetu bado tukawa na viongozi wanaohadaika na hao mabeberu?

2. Focus distraction -kupitia viongozi.
Sasa hapo kwa nini badala ya kupambana na kiongozi wako unataka kuhamishia lawama zako Kwa mabeberu?

Yaani Tanzania tuna viongozi ambao kirahisi tu wanaweza kutolewa kwenye Dira yao halafu tunawalaumu mabeberu? Udhaifu wa viongozi wetu mabeberu wanahusikaje?

3. Vitisho usalama
Hapa Tanzania hao mabeberu ni lini walitishia usalama wa nchi yetu?
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Mbona nahisi hili ni jambo unalolielewa vizuri ila ni kama una-challenge wanaJF? Au ninakosea kuamini unajua mengi?
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Mabeberu weusi wenye asili ya Oman wameuza bandari zote za Tanganyika na kumpa mwarabu, wakaua watanganyika ili wazidi kututawala. Maisha ya mtanganyika yanazidi kuwa magumu kila kukicha na hali inatabiriwa kuwa mbaya sana siku zijazo. Watanganyika tumekuwa watumwa ndani ya ardhi yetu wenyewe.
 
DEMOKRASIA NI MFUMO WA MABEBERU AMBAO WALIUANZISHA ILI UWASAIDIE KUWAGAWANYA NA KUUANA NYIE KWA NYIE ILI WAO WAJE WACHOTE NA KUIBA MALI KIRAHISI

LEO WEWE UNANICHUKIA MIMI KISA SIASA ILA KAMA KUNGEKUWA HAKUNA HIZI SIASA MIMI NA WEWE TUNGEKUWA KITU KIMOJA

I WILL BACK
Hata vifaa tiba, vyombo vya usafiri nk ni wao ndio wametuletea, lengo lao ilikuwa kuwagawa akina nani? Peleka propaganda za kijinga mbali. Ww ndio umeletwa humu kuja kutuhubiria uoaga uitwao amani, na kweli ukaja kichwakichwa ukidhani kuna waliolala kama huko vijijini uwahadae?
 
Back
Top Bottom