PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huu ni msemo wanaotumia watawala wa shitholeni kuhalalisha wizi wao na kukwepa kuwajibika, hii dhana dhaifu wanayobebeshwa watu wasiojua kutafakari mambo na kuimba kama kasuku wakifunikwa na blanket la ujinga huku watawala hao wakijilimbikizia mali na kuficha kwa haohao wanaowaita mabeberu! Wenyewe wanaitana "development partners" kwenye vikao vyao, wakitoka nje kwa vyawa wao wanawaita mabeberu
 
Hakika China wanaonewa wivu wazi wazi lakin viongoz wao hawatumii sababu hiyo kuepuka matokeo ya matendo Yao kama hapa kwetubeberu weusi wenye asili ya Oman wameuza bandari zote za Tanganyika na kumpa mwarabu, wakaua watanganyika ili wazidi kututawala. Maisha ya mtanganyika yanazidi kuwa magumu kila kukicha na hali inatabiriwa kuwa mbaya sana siku zijazo. Watanganyika tumekuwa watumwa ndani ya ardhi yetu wenyewe.
"Mabeberu weusi wenye asili ya oman"🤣🤣🤣🙌
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - Catalyst The IMF and World Bank: Neocolonial Domination, Debt Trap, and Resistance in the Global South - Catalyst

Google tu 'how imperialists exploit African nations' utapata links nyingi zikielezea Hilo suala halafu utahusianisha na tz
Kwa faida nenda threads kwa Ali zaeteri uone michezo inavyochezwa
 
Cc Gallowbird
 
MIFUMO AMBAYO ILILETWA NA MABEBERU NDO INAZIKANDAMIZA NCHI ZA AFRICA MPAKA LEO.

#SIASA
#ELIMU
#UBEPARI
#DINI

Mpaka nchi zetu za kibantu zimekwama kupiti hiyo mifumo.

KUGAWANYIKA KWA AFRICA KUNATOKANA NA ELIMU, DINI , SIASA, UBEPARI .

NAANZA KUCHAMBUA

SIASA - MFUMO WA DEMOKRASIA WA KURUHUSU WATU WOTE KUCHAGUA NI MFUMO UNAOLETA MIGOGORO, MAUAJI , KUUMIZANA

DEMOKRASIA KAMA ISINGEKUWEPO TUNGEKUWA NCHI HAIJAGAWANYIKA , INGEKUWA NI NCHI INAYOJENGWA NA KILA MTU

LEO HII HAUWEZI UKARUHUSU WAJINGA WENGI WAMCHAGUE KIONGOZI HATA USA HAINA MFUMO HUO KATIKA KUMPATA RAIS.

DINI - VITA YA DINI NI MBAYA LEO WAKRISTU NA WAISLAMU HAWAPENDANI , HAWAINGILIANI HAWAAMINIANI NA HATA KATIKA KUOA INAKUWA CHANGAMOTO MEANS WAMEUA UTAMADUNI WA MWAFRICA NA KUAMINI MAFANIKIO YANATOKANA NA MAOMBI PEKEE. NA SIO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA .

UBEPARI - HUU NI MFUMO AMBAO HAUKUFAA KUWEPO AFRICA LEO WAFANYABIASHARA WANAMILIKI UTAJIRI MKUBWA HUKU WAKIWA WAMEZUNGUKWA NA MASIKINI MFANO BAKHRESSA ANALIPA VIBARUA ELFU TATU

MFUMO WA KIBEPARI HAURUHUSU SERIKALI KUINGILIA HIVYO WAFANYA BIASHARA KILA MWAKA WANAPATA UTAJIRI ILA WANANCHI WALAJI WA MWISHO WANABAKI MASIKINI

MFANO KUNA WAKATI HUWA WANAFICHA SUKARI NA KUPAMBANA SUKARI ISIINGIE KUTOKA NJE ILI WAUZE KWA FAIDA KUBWA.

ELIMU - ELIMU ALIYOACHA MKOLONI NA ILIYOPO SASA IMEJAA UJANJA UJANJA INAANDAA JOBLESS INA ANDAA WATU WENYE POOR THINKING NA AMBAO HAWAPO COMPETENT.

UTAMADUNI - AFRICA ULE UTAMADUNI WETU MPAKA SASA UPO MAHUTUTI

MAGONJWA - AFRICA IMEKUWA IKILETEWA MAGONJWA KAMA UKIMWI , EBOLA , MARALIA N.K

NA BAADAE KUUZIWA DAWA KWA BEI KUBWA

WANAFANYA KU MONETIZE HUMANITY.
 
Ulitaka kusema nini?
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Miaka 60 ya uhuru hakuna maji ya kunywa? Huyo beberu akuonee wivu wa Nini? Watu wanakunya bila kuchamba kwakuwa hakuna maji na wazir wa maji na serikali yake wanasubir mvua ya mungu
 
Na hayo yanatokea kwenye Jiji la kibiashara Dar es salaam... Jee huko kwenye mikoa ya pembezoni hali ikoje?
 
Andiko reefu lakini halina mantiki hata kidogo...

Umechanganya na kutindiganya mambo labda kwa lengo la kutubagaza. Hapo ndiyo umeelezea kuhusu ubeberu na mahusiano yake na nchi yetu?

Mimi sipendi ubishi

Ukiona CCM imekaa miaka 60 ujue nchi Ina idadi kubwa wa wajinnga
 
Hata vifaa tiba, vyombo vya usafiri nk ni wao ndio wametuletea, lengo lao ilikuwa kuwagawa akina nani? Peleka propaganda za kijinga mbali. Ww ndio umeletwa humu kuja kutuhubiria uoaga uitwao amani, na kweli ukaja kichwakichwa ukidhani kuna waliolala kama huko vijijini uwahadae?
Unafikiri sisi hatuwezi kutengeneza Magari?
 
Back
Top Bottom