PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unasema vitu vya UONGO kwenye bandiko lako lote ili kiwe nini? Elimu, Dini , DEMOKRASIA kwenye nchi zilizoendelea hakuna?

Israel, ujerumani, Iran, Marekani, Japan, China huko kote hakuna dini?

Mimi nakuweka ignore list sipendi MTU amabaye hapendi kujifunza

Mimi ninakupa mambo ya kukusaidia wewe unaleta ubishi

Endelea kuabudu wazungu wakupe condom na vyandarua.
 
Hakuna mahali nilikuvuta au kukulazimisha uchangie hii mada. Usijipe umuhimu usiokuwa nao.

Hao watoa vyandarua na kondomu ni wao waliomba walete ama sisi ndiyo tulikwenda kuomba kwao?

Nyie ndiyo vichwa maji mnaosema kuwa UKIMWI ulitengenezwa ili kuwaua waafrika au kupata Hela.

Mauaji ya 29Oktoba walikufa watu wengi kuliko watakaokufa mwaka huu kwa UKIMWI.
 
😁😁😁

Hayo mauaji nyie ndo mliyasabisha hii dhambi itawatafuna

Kwakuwa mlisema watoke jeshi litawalinda .
 
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png

My people​

Kuna msemo mmoja unasema "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERIKA"

 Tunaweza tumia mfano huu kuelezea ukweli kwamba hakuna Ufadhili ambao haufanyiki bila malengo maalumu

Hao wafadhili wana tegemea kupata kitu kutokana na pesa wanayotoa,sasa wakiona matumaini ya kupata wakitakacho hakipo tena ni dhahiri kabisa wata abort the mission, na hapo wanaharakati wetu wa mchongo watajikuta kwenye hali mbaya sana.

Ikifikia stage hiyo bongo hawawezi kurudi maana wakitia pua tu pale njia panda ya kwenda Ulaya watu wanakula vichwa,na wakikaa huko ughaibuni bila mishe watahadhirika

Ushauri wetu wapigania amani ya nchi hii, hao wanaharakati waanze kutafuta mishe za kufanya kwasababu, mpaka sasa wapigania amani tumeshaudhibiti mchezo,watu wamepata mwamko mkubwa na hawata andamana

Maana option iliyobakia ilikuwa kuingia road kuleta machafuko nchi isitawalike na Serikali kuangushwa,lakini mpaka sasa dash board inasoma Dola ni full tank na Wanaharakati wa mchongo ni Empty tank

Tunashukuru sana Watanzania kwa kuzinduka kutoka usingizini,tukumbuke Tanzania ni yetu na ni sisi pekee ndio tutailinda

Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Afrika

Ni hayo tu!
 
View attachment 3517932

My people,​

wanaharakati hawajawahi kuwatuma kuteka na kuua watu, kupora uchaguzi na ufisadi wa kiwango cha lami. Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na CCM and nobodyelse
 
Ni sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongo

Kwahiyo nao hawawezi kwepa lawama ya kilichotokea
 
Waliwafungua watu macho na akili, wakaelewa ni namna gani hii nchi inaingizwa shimoni na CCM, sasa hivi hawana tena ushawishi, wamebakiza kutumia nguvu tu
 
Back
Top Bottom