PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona umeamua kuwa upande wa makafiri ya kiamerika!
View attachment 3517932

My people,​


Kuna msemo mmoja unasema "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERIKA"

 
Tunaweza tumia mfano huu kuelezea ukweli kwamba hakuna Ufadhili ambao haufanyiki bila malengo maalumu

Hao wafadhili wana tegemea kupata kitu kutokana na pesa wanayotoa,sasa wakiona matumaini ya kupata wakitakacho hakipo tena ni dhahiri kabisa wata abort the mission, na hapo wanaharakati wetu wa mchongo watajikuta kwenye hali mbaya sana.

Ikifikia stage hiyo bongo hawawezi kurudi maana wakitia pua tu pale njia panda ya kwenda Ulaya watu wanakula vichwa,na wakikaa huko ughaibuni bila mishe watahadhirika


Ushauri wetu wapigania amani ya nchi hii, hao wanaharakati waanze kutafuta mishe za kufanya kwasababu, mpaka sasa wapigania amani tumeshaudhibiti mchezo,watu wamepata mwamko mkubwa na hawata andamana

Maana option iliyobakia ilikuwa kuingia road kuleta machafuko nchi isitawalike na Serikali kuangushwa,lakini mpaka sasa dash board inasoma Dola ni full tank na Wanaharakati wa mchongo ni Empty tank

Tunashukuru sana Watanzania kwa kuzinduka kutoka usingizini,tukumbuke Tanzania ni yetu na ni sisi pekee ndio tutailinda


Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Afrika

Ni hayo tu!
 
Waliwafungua watu macho na akili, wakaelewa ni namna gani hii nchi inaingizwa shimoni na CCM, sasa hivi hawana tena ushawishi, wamebakiza kutumia nguvu tu
Hatuna tatizo na wao kupush maovu ya serikali na uchafu mwingine mwingi tu,ugomvi wetu na wao ni njia za kutatua changomoto hiyo

Njia ya kuhamasisha fujo na vurugu haikuwa njia sahihi
 
SISI HATUSAPOTI WALA KUFURAHISHWA NA KILICHOTOKEA 29/10 ILA TUNAPAMBANA KISITOKEE TENA NA KUUA ILLUSION NA DELUSION NA MANIPULATION KUTOKA KWA ACTIVISTS WALIOLIPWA NA KUFADHILIWA NA MAADUI ZETU

the feeling that a lot of us had: We didn’t worship the Mafia like a lot of people thought, but we completely related to the “us vs. the establishment” mentality. That is the “key of life” for us, the thing that unite us, even when we aren't in perfect harmony.

Say no demonstration save u ur life
 
Uwanja wa kia ivi tuna asilimia ngapi mleta maada. Vipi mktaba wa ujenzi wa bagamoyo port ukoje
 
Unasema vitu vya UONGO kwenye bandiko lako lote ili kiwe nini? Elimu, Dini , DEMOKRASIA kwenye nchi zilizoendelea hakuna?

Israel, ujerumani, Iran, Marekani, Japan, China huko kote hakuna dini?
Tatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.
 
View attachment 3517932

My people​

Kuna msemo mmoja unasema "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERIKA"

 Tunaweza tumia mfano huu kuelezea ukweli kwamba hakuna Ufadhili ambao haufanyiki bila malengo maalumu

Hao wafadhili wana tegemea kupata kitu kutokana na pesa wanayotoa,sasa wakiona matumaini ya kupata wakitakacho hakipo tena ni dhahiri kabisa wata abort the mission, na hapo wanaharakati wetu wa mchongo watajikuta kwenye hali mbaya sana.

Ikifikia stage hiyo bongo hawawezi kurudi maana wakitia pua tu pale njia panda ya kwenda Ulaya watu wanakula vichwa,na wakikaa huko ughaibuni bila mishe watahadhirika

Ushauri wetu wapigania amani ya nchi hii, hao wanaharakati waanze kutafuta mishe za kufanya kwasababu, mpaka sasa wapigania amani tumeshaudhibiti mchezo,watu wamepata mwamko mkubwa na hawata andamana

Maana option iliyobakia ilikuwa kuingia road kuleta machafuko nchi isitawalike na Serikali kuangushwa,lakini mpaka sasa dash board inasoma Dola ni full tank na Wanaharakati wa mchongo ni Empty tank

Tunashukuru sana Watanzania kwa kuzinduka kutoka usingizini,tukumbuke Tanzania ni yetu na ni sisi pekee ndio tutailinda

Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Afrika

Ni hayo tu!
Sijaelewa... tulia mkuu uandike vizuri
 
You must be damned kama unadhani kuwa watanzania wanahitaji kushawishiwa kuamka as if wao hawana akili kuona kuwa matatizo yapo katika hii serikali. Kilichofanyika MO29 ni matokeo ya kunyimwa uhuru wa kuongea na kutoa opinions huku mambo ya hovyo yakifanywa na serikali ikiwamo utekaji.
 
Back
Top Bottom