Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwa akili hizi ndiio mtaikomboa Tanganyika?Acha upumbavu!
Kwa akili hizi ndiio mtaikomboa Tanganyika?Acha upumbavu!
Una elimu gani?MIFUMO AMBAYO ILILETWA NA MABEBERU NDO INAZIKANDAMIZA NCHI ZA AFRICA MPAKA LEO.
#SIASA
#ELIMU
#UBEPARI
#DINI
Mpaka nchi zetu za kibantu zimekwama kupiti hiyo mifumo.
KUGAWANYIKA KWA AFRICA KUNATOKANA NA ELIMU, DINI , SIASA, UBEPARI .
NAANZA KUCHAMBUA
SIASA - MFUMO WA DEMOKRASIA WA KURUHUSU WATU WOTE KUCHAGUA NI MFUMO UNAOLETA MIGOGORO, MAUAJI , KUUMIZANA
DEMOKRASIA KAMA ISINGEKUWEPO TUNGEKUWA NCHI HAIJAGAWANYIKA , INGEKUWA NI NCHI INAYOJENGWA NA KILA MTU
LEO HII HAUWEZI UKARUHUSU WAJINGA WENGI WAMCHAGUE KIONGOZI HATA USA HAINA MFUMO HUO KATIKA KUMPATA RAIS.
DINI - VITA YA DINI NI MBAYA LEO WAKRISTU NA WAISLAMU HAWAPENDANI , HAWAINGILIANI HAWAAMINIANI NA HATA KATIKA KUOA INAKUWA CHANGAMOTO MEANS WAMEUA UTAMADUNI WA MWAFRICA NA KUAMINI MAFANIKIO YANATOKANA NA MAOMBI PEKEE. NA SIO KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA .
UBEPARI - HUU NI MFUMO AMBAO HAUKUFAA KUWEPO AFRICA LEO WAFANYABIASHARA WANAMILIKI UTAJIRI MKUBWA HUKU WAKIWA WAMEZUNGUKWA NA MASIKINI MFANO BAKHRESSA ANALIPA VIBARUA ELFU TATU
MFUMO WA KIBEPARI HAURUHUSU SERIKALI KUINGILIA HIVYO WAFANYA BIASHARA KILA MWAKA WANAPATA UTAJIRI ILA WANANCHI WALAJI WA MWISHO WANABAKI MASIKINI
MFANO KUNA WAKATI HUWA WANAFICHA SUKARI NA KUPAMBANA SUKARI ISIINGIE KUTOKA NJE ILI WAUZE KWA FAIDA KUBWA.
ELIMU - ELIMU ALIYOACHA MKOLONI NA ILIYOPO SASA IMEJAA UJANJA UJANJA INAANDAA JOBLESS INA ANDAA WATU WENYE POOR THINKING NA AMBAO HAWAPO COMPETENT.
UTAMADUNI - AFRICA ULE UTAMADUNI WETU MPAKA SASA UPO MAHUTUTI
MAGONJWA - AFRICA IMEKUWA IKILETEWA MAGONJWA KAMA UKIMWI , EBOLA , MARALIA N.K
NA BAADAE KUUZIWA DAWA KWA BEI KUBWA
WANAFANYA KU MONETIZE HUMANITY.
Kama hukufuatilia matukio ina maana your not well informed, kwahiyo huna uhalali wa kuhoji kitu ambacho hujuiKufuatilia matukio hakutoshi kuthibitisha uhamasishaji. Ndicho ninachouliza: ushahidi gani unaoonyesha watu hawakujitokeza kwa hiari yao kutokana na jambo lililowagusa moja kwa moja?
Hayo waulize CCM na serikali yaoUwanja wa kia ivi tuna asilimia ngapi mleta maada. Vipi mktaba wa ujenzi wa bagamoyo port ukoje
Basi ujue hili andiko sio kwa ajili yakoSijaelewa... tulia mkuu uandike vizuri
Hayo hayakuwa maandamano,ilikuwa ni fujo na vuruguYou must be damned kama unadhani kuwa watanzania wanahitaji kushawishiwa kuamka as if wao hawana akili kuona kuwa matatizo yapo katika hii serikali. Kilichofanyika MO29 ni matokeo ya kunyimwa uhuru wa kuongea na kutoa opinions huku mambo ya hovyo yakifanywa na serikali ikiwamo utekaji.
Haina ubishi chief,hapa wasitafute mchawiHii dhambi ya mauaji inawahusu wanaharakati kwa 100%
Kabisa.Nchi ngumu hii mtu anaetakiwa kukulinda ndio anakuua ila hata hivyo watakuwa wamepata funzo siku nyingine hawatarudia
Njia sahihi ni kufanya maandamano halali na kwa njia ya mazungumzoNjia sahihi ilikuwa kuwalamba miguu masultani weusi?
HAPANA TUNAJITOLEA MKUU.
THE END JUSTIFIES THE MEANS
Hamuwezi mkajitolea kutetea udhalimu.HAPANA TUNAJITOLEA MKUU.
Utaelewa baadae mkuuHamuwezi mkajitolea kutetea udhalimu.
Hakuna aliyetumwa kuandamana.THE END JUSTIFIES THE MEANS
UTAELEWA KAMA SLOW LEARNERS WENGINE WA JF AMBAO WALITUMWA KUANDAMANA BILA KUJUA NINI KIPO NYUMA YA HAYO MAANDAMANO.
Huu ni msemo wanaotumia watawala wa shitholeni kuhalalisha wizi wao na kukwepa kuwajibika, hii dhana dhaifu wanayobebeshwa watu wasiojua kutafakari mambo na kuimba kama kasuku wakifunikwa na blanket la ujinga huku watawala hao wakijilimbikizia mali na kuficha kwa haohao wanaowaita mabeberu! Wenyewe wanaitana "development partners" kwenye vikao vyao, wakitoka nje kwa vyawa wao wanawaita mabeberu
Hakuna aliyetumwa kuandamana.
Watu walishachoshwa na siasa chafu za c c m