PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa uzoefu wangu ghasia kama zile ni mara ya kwanza kutokea Tanzania kwahiyo kuniuliza wanatumiaga mbinu gani sijui labda uniambie wewe uliewahi kushuhudia
Twende kwa kadri ya uzoefu wako, kwa uzoefu wako katika ghasia zengine ambazo umewahi kuzishuhudia polisi huwa wanafanyaje ili kudhibiti ghasia pasina kuwashoot watu kwa kuwauwa? Hebu niambie huwa wanafanya nini.
 
Sijawahi shuhudia ghasia kama zile hivyo sijui wanafanyaje ndio maana nikakuuliza wewe huenda una uzoefu
 
Sijawahi shuhudia ghasia kama zile hivyo sijui wanafanyaje ndio maana nikakuuliza wewe huenda una uzoefu
Sijakwambia ghasia kama zile nimekwambia katika hali ya kawaida ghasia ambazo umewahi kushuhudia wewe uliona polisi wanatuliza vp ghasia?
 
Kama kuna mabeberu maana yake kuna majike, hayo majike ni kina nani?
 
Sijakwambia ghasia kama zile nimekwambia katika hali ya kawaida ghasia ambazo umewahi kushuhudia wewe uliona polisi wanatuliza vp ghasia?
Huwezi fananisha ghasia nyingine na zile za October 29 zile ni za aina yake ndio maana zinakumbukwa
 
Huu ni msemo wanaotumia watawala wa shitholeni kuhalalisha wizi wao na kukwepa kuwajibika, hii dhana dhaifu wanayobebeshwa watu wasiojua kutafakari mambo na kuimba kama kasuku wakifunikwa na blanket la ujinga huku watawala hao wakijilimbikizia mali na kuficha kwa haohao wanaowaita mabeberu! Wenyewe wanaitana "development partners" kwenye vikao vyao, wakitoka nje kwa vyawa wao wanawaita mabeberu
Kalibia asilomia 99 ya watawala Africa wana account over seas Kwa mabeberu wakiumwa wanaenda kutibiwa Kwa mabeberu hizi non sense zakuonea wivu wakawauzie vichwa panzi wavivu wakufikiri,
Wanakula sahani Moja ma mabeberu kutuhujumu wananchi wa chini kabisa
 
Huwezi fananisha ghasia nyingine na zile za October 29 zile ni za aina yake ndio maana zinakumbukwa
Wewe jibu kisha ndio tupime kama hizo njia za kuzuia ghasia zengine zingeweza kuzuia au zisingeweza kuzuia ghasia za oct 29.
 
Wewe jibu kisha ndio tupime kama hizo njia za kuzuia ghasia zengine zingeweza kuzuia au zisingeweza kuzuia ghasia za oct 29.
Unalazimisha nijibu kitu nisichokijua wala kuwa na uzoefu nacho ili iweje

Wewe mwenye majibu yaweke hapa maana unaonekana una uzoefu hebu tuambie kwa kasi Ile ya uchomaji kwa muda mfupi mbinu gani hutumika kudhibiti?
 
Hata vifaa tiba, vyombo vya usafiri nk ni wao ndio wametuletea, lengo lao ilikuwa kuwagawa akina nani? Peleka propaganda za kijinga mbali. Ww ndio umeletwa humu kuja kutuhubiria uoaga uitwao amani, na kweli ukaja kichwakichwa ukidhani kuna waliolala kama huko vijijini uwahadae?
Hata bunduki mnazotumia kuchapia Rai ni za mabeberu earudishieni mtumie mapamga na manati ndo vyenu wanatamba ujinga tu
 
Back
Top Bottom