PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongo

Kwahiyo nao hawawezi kwepa lawama ya kilichotokea
Hii dhambi ya mauaji inawahusu wanaharakati kwa 100%
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210.png
    Screenshot_20251220-071210.png
    478.6 KB · Views: 10
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Ninachojua mimi wanaohujumu nchi yetu ni viongozi wetu wanaoingia mikataba ya kimangungo, hao wanaoitwa mabbeberu hawachukui rasmali zetu at gun point lakini wanapewa kwa maandisha na viongozi wetu, mmojawapo aliyehusikaa kuingia mikataba hii ya kinyonyaji ni huyu huyu Kivuruge Jakaya Mrisho Kikwete ambaye bado anatawala kwa mlaango wa nyuma akiwa mbioni kuja kumrithisha mwanawe Ridhwani Urais wa nchi yetu.
FB_IMG_1758911940479.jpg
FB_IMG_1765768878021.jpg
FB_IMG_1765650116396.jpg
 
Tatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.
Hakuna mahali nimebisha ila nilichomtahadharisha kwenye mambo ya nukuu, huwezi kunukuu wikipedia ambayo hata yaliyoandikwa humo humjui aliyeyaandika.

Halafu mambo ya kuweka viwango yana kanuni zake ambazo angalau zinajulikana na kukubaliwa na wengi.

Ni kanuni gani zilizotumika kuweka viwango vya hivyo vyama na madaraja yake yanatambulikaje?

Mkiulizwa mnaanza kusema mnabishiwa... Kwani nyie mna nini spesho hadi msihojiwe?
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Kuna kale kajamaa ka UVCCM ndio kanatakiwa kajibu hili swali, Kapuuzi sana kale.
 
Tatizo wewe unataka kusikia maoni unayopenda ambayo kulalamika na kuiponda serikali ya CCM. Wakati mwingine ili kuficha upuuzi wako andika uzi moja kwa moja kusema unachotaka kusema ila sio kuuliza kitu ukijibiwa tofauti unavyotaka unaanza kubisha kama zumbukuku.
HUYU JAMAA NI NYUMBU KITU AMBACHO NILIKUWA SIJUI ANA STEREOTYPE
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 13
HUYU JAMAA NI NYUMBU KITU AMBACHO NILIKUWA SIJUI ANA STEREOTYPE
Duh kumbe polis na wanajeshi hawakuwa nao kweli kama walivyoaminishwa walikuwa wanawangoja kwa hamu watoke wawabutue

Wapumzike kwa amani
 
Duh kumbe polis na wanajeshi hawakuwa nao kweli kama walivyoaminishwa walikuwa wanawangoja kwa hamu watoke wawabutue

Wapumzike kwa amani
NCHI INA UNAFIKI MWINGI UNAMTUMA KIJANA VITANI ANAULIWA BILA HURUMA
 
NCHI INA UNAFIKI MWINGI UNAMTUMA KIJANA VITANI ANAULIWA BILA HURUMA
Ni kweli aiseeh! Unamtuma mtu kwa kumuaminisha kuwa polis atamlinda? Ni uhuni sana yani ni sawa kumpeleka swala akalindwe na Simba
 
Ni kweli aiseeh! Unamtuma mtu kwa kumuaminisha kuwa polis atamlinda? Ni uhuni sana yani ni sawa kumpeleka swala akalindwe na Simba


TUKIONGEA UKWELI WANANIITA CHAWA

UJUWE HAWA WANA JF NILIWABIA MIMI SIANGALII NANI NI NANI KAMA ULIDANGANYA NA KUSAMBAZA UONGO VIJANA WAKAULIWE UJUE USHAKUWA ADUI YANGU
 
kwanini mods watu kama hawa msiwapge ban lengo lenu nini au nanyi lenu moja?
Lengo letu ni moja kumfanya mtanzania ajitambue,ajue wajibu wa kulinda amani ya nchi upo mikononi mwake,asitegemee kuna mtu atapambania amani ya Tanzania kama sio sisi wenyewe

Waache kutumiwa kwa manufaa ya wengine
 
TUKIONGEA UKWELI WANANIITA CHAWA

UJUWE HAWA WANA JF NILIWABIA MIMI SIANGALII NANI NI NANI KAMA ULIDANGANYA NA KUSAMBAZA UONGO VIJANA WAKAULIWE UJUE USHAKUWA ADUI YANGU
Nchi ngumu hii mtu anaetakiwa kukulinda ndio anakuua ila hata hivyo watakuwa wamepata funzo siku nyingine hawatarudia
 
Kisheria au kimantiki, unawezaje kutenganisha kati ya “kuhamasishwa” na “wananchi kujihamasisha wenyewe”
Wananchi walihamasishwa baada ya kuhakikishiwa kwamba Jeshi lipo nyuma yao

Na alipo jitokeza Captain Tesha ndio kabisa watanzania wakajitoa lock kichwani na kuwa manyumbu
 
Back
Top Bottom