Naona unataka kujua nilipo..
Mimi sipo mbulu, si unataka kujua nilipo! Mm nipo hapa dar es salam
Na kesho nipo kanisani kanisa kuu anglican hapa mtakatifu albano dsm kwa jina langu hilo hilo na hyo si id fake..
Mm nitaendelea kuwa mtiifu kwa taifa langu la tanzania na nitailinda amani ya taifa hili na nitaungana na wote wanaokemea vitendo vya kuvunja amani ya nchi hii.
MIMI NI MTANZANIA NITAFIA TANZANIA TANZANIA NA NITAZIKWA TANZANIA HAIJALISHI MIMI NI TAJIRI AU MIMI NI MASKINI..I WILL DEFEND MY COUNTRY BY ANY COST WETHER BY WATERSHED OR BLOODSHED!
nipe majina yote uwezavyo!