PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
wanatuonea wivu wameharibu miundo mbinu ya Dawasa hatuna maji sasa
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Kasikilize Shule ya Uongozi aliokuwa anafundisha Polepole,

Utaelewa vizuri sana.
 
Sasa kivipi mabeberu wanahujumu nchi yetu?
Mfano Mzuri Mdogo utao kufungua Akili ni Geita Gold Mine Ni Mgodi Mkubwa Afrika unao toa zaidi ya Kilo 13,700 za Dhahabu kwa Mwaka,

Lakini Sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2012 Ilieleza kuwa Wilaya ya Geita ni Moja ya Wilaya Maskini Tanzania,

Fikiri vizuri utapata uelewa mzuri
 
Umaskini wa watu wa Geita na mabeberu vinahusianaje? Kwani mkataba wa uchimbaji madini pale hao wenye kumiliki ule mgodi waliilazimisha Serikali kusaini?

Halafu unawajua wenye kumiliki ule mgodi?😀😆😃
 
Umaskini wa watu wa Geita na mabeberu vinahusianaje? Kwani mkataba wa uchimbaji madini pale hao wenye kumiliki ule mgodi waliilazimisha Serikali kusaini?

Halafu unawajua wenye kumiliki ule mgodi?😀😆😃
Mabeberu Wanatengeneza Mazingira ya Kukunyonya kwa hiyo Ayo Mazingira Wameyatengeneza,

Tanzania ilipo anza kuendelea Kipindi Cha Nyerere Mabeberu walikuja Kutudhoofisha Kwa Kutufungia Uwanja wa Ndege kwa Madai hakuna Magari bora ya Kuzimia Moto,

Then Waka Mnyima Mkopo Ulaya kote hadi Asia Hakupata Mkopo wa Kununua hilo gari,

Lakini Nyerere Alikuwa Kawapeleka baadhi ya Watanzania kwenda Kusoma Nje wakiwemo Wanajeshi Baadhi,

Akaagiza Wanajeshi walio Somea Mambo ya mechanical Watengeneze hiyo gari waka Sema Inawezekana,

Wakatengeneza Siku ya Kuzindua hiyo gari ili Tupa Maji Mara mbili ya Gari za Kizungu Nyerere aka Tenga 2Billion ili Kiwanda Kijengwe,

Baada ya Wazungu kuona hivyo Yakaleta Magari ya Msaada Mawili bure,

Kwakua Uchumi ulikuwa Chini Zile pesa Zilizo Tengwa kwaajili ya Kiwanda Zikarudi Kufanya Maendeleo ya wananchi,

Wazungu Wakiona Tunajikongoja Wanatengeneza Mazingira ya Kutudidimiza Tusiendelee
 
Hayo hayakuwa maandamano,ilikuwa ni fujo na vurugu

Waandamanaji huwa wanaharibu moundo mbinu na kuchoma mali za watu?

Hili nalo linahitaji usomi?
Vurugu zilianzaje? Askari wajibu wao ulikuwa ni nini kama sio ku contain raia wabakie barabarani wafanye maandamano yao.

Sasa badala ya kufanya hivyo wao wakawapiga mabomu ili wawatawanye waondoke barabarani mwisho ndio wakaishia pembezoni kwenye biashara za watu. Kisha wakawafuata na huko kuwapiga risasi hadi mitaani kwao.

Haihitaji degree kuelewa kwamba vurugu walizisababisha hao hao askari polisi. Wangeacha watu waandamane huku wakizuia wasisogelee biashara za watu wabakie barabarani.
 
Mabeberu Wanatengeneza Mazingira ya Kukunyonya kwa hiyo Ayo Mazingira Wameyatengeneza,

Tanzania ilipo anza kuendelea Kipindi Cha Nyerere Mabeberu walikuja Kutudhoofisha Kwa Kutufungia Uwanja wa Ndege kwa Madai hakuna Magari bora ya Kuzimia Moto,

Then Waka Mnyima Mkopo Ulaya kote hadi Asia Hakupata Mkopo wa Kununua hilo gari,

Lakini Nyerere Alikuwa Kawapeleka baadhi ya Watanzania kwenda Kusoma Nje wakiwemo Wanajeshi Baadhi,

Akaagiza Wanajeshi walio Somea Mambo ya mechanical Watengeneze hiyo gari waka Sema Inawezekana,

Wakatengeneza Siku ya Kuzindua hiyo gari ili Tupa Maji Mara mbili ya Gari za Kizungu Nyerere aka Tenga 2Billion ili Kiwanda Kijengwe,

Baada ya Wazungu kuona hivyo Yakaleta Magari ya Msaada Mawili bure,

Kwakua Uchumi ulikuwa Chini Zile pesa Zilizo Tengwa kwaajili ya Kiwanda Zikarudi Kufanya Maendeleo ya wananchi,

Wazungu Wakiona Tunajikongoja Wanatengeneza Mazingira ya Kutudidimiza Tusiendelee
Kwahiyo Nyerere alishindwa kukataa hizo gari au alilazimishwa kuzichukua kwa lazima
 
Wale hawakuwa raia wema,walikuwa wahuni, watu ambao wamedhamiria kuleta fujo na vurugu unafikiri utadili nao vipi?
Ili uwe na utu ni lazima kwanza wewe mwenyewe utambue kuwa wewe ni mtu.

Watu wanashangaa ilikuwaje watu milioni zaidi ya 60 waliuliwa zama za Aldolf Hitler, kumbe naye alikuwa na wapambe wa aina yako.

Binadamu waliokata tamaa ya kuwa na utu, hushabikia kila tendo la kinyama atendewalo binadamu mwingine, Kwa kuwa hata yeye mwenyewe hajihesabu tena kama ni binadamu.

Yesu alisema mtu asipojipenda yeye mwenyewe, hawezi kupenda wengine.
 
Hauwezi kwepa ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ni fujo na vurugu

Pili,sibariki kilichotokea na wala isiingie kwenye akili yako kuwa ninainjoy jàmbo hilo

Ila ukwelli huwa upo wazi kulikuwa na dhamira ya kuleta taharuki na uvunjivu wa amani

Asante
 
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?

Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu

Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na GENTAMYCINE wanaweza kusaidia kujibu hili
 
Hii ni nadharia... Elezea Kwa mifano halisi hapa Tanzania wanafanyaje kutuhujumu?

Halafu tukijadili hoja zako,
1. Wana njia za hadaa.
Inakuwaje kama Taifa Kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru wetu bado tukawa na viongozi wanaohadaika na hao mabeberu?

2. Focus distraction -kupitia viongozi.
Sasa hapo kwa nini badala ya kupambana na kiongozi wako unataka kuhamishia lawama zako Kwa mabeberu?

Yaani Tanzania tuna viongozi ambao kirahisi tu wanaweza kutolewa kwenye Dira yao halafu tunawalaumu mabeberu? Udhaifu wa viongozi wetu mabeberu wanahusikaje?

3. Vitisho usalama
Hapa Tanzania hao mabeberu ni lini walitishia usalama wa nchi yetu?
Hii mada ndugu Allen Kilewella ni ngumu mno kwa chawa wasiotumia akili kama yule mwendawazimu wao Habibu Mchange ambaye bila shaka kapewa jukumu lililokuwa likifanywa na Cyprian Musiba (ambaye anasema ameokoka kwa kuwa kaitambua dhambi yake aliyosababishiwa na CCM, hakujua alilokuwa anafanya) wakati wa John P. Magufuli...!

Hata hivyo, kwangu mimi kidogo naona Cyprian Musiba alikuwa na akili na ufahamu kiasi wa kuweza kuzifanyia manipulations kwa kuzipaka rangi hoja za kipropaganda zifanane kidogo na ukweli lakini huyu Habib Mchange, yeye ni debe tupu lisilo na mvuto wowote...!

Na hoja hii ya "mabeberu wanaonea wivu rasrimali zetu" inasemwa sana na Mwigulu Nchemba (Waziri Mkuu asiye na sifa wala hadhi ya Uwaziri Mkuu kabisa). Hotuba zake ktk ziara anazofanya zinathibitisha hili kwani anaonekana kuchukua cheo cha Kenan Kihongozi (Katibu wa Propaganda wa CCM) badala ya kuvaa viatu vya uwaziri mkuu...

Huyu tunajua yupo humu. Anapaswa kuja kujibu na kuifafanua vizuri hoja hii.

Na kwangu mimi, nadhani hii hoja ingekuwa inasemwa zaidi na vyama vilivyo nje ya serikali kidogo ingekuwa ina make sense kwa sababu siku zote mabeberu hufanya kazi na serikali zilizo madarakani na hapa kwetu Tanzania ndivyo ilivyo. Lakini cha ajabu hawahawa waliosaini na kuingia mikataba ya hovyo na ya kiwiziwizi mtupu kwa karibu rasrimali asili zetu zote kuanzia misitu, madini, mbuga za wanyama, bandari, makaa ya mawe, gesi aasilia, mafuta nk leo wanatuhadaa kuwa kuna watu (nje ya wao) wanataka kushirikiana na mabeberu kuiba rasrimali asili zetu....!!

This is very ridiculous...

Huyu Mwigulu Nchemba itabidi akapimwe akili zake vizuri...

Asante. Na samahani, hili la Mchange na Musiba nimechomekea tu. Tuendelee na mjadala rasmi
 
Back
Top Bottom