Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Beberu anaona wivu kwa kuwaletea mitumba kila siku?Hata kijiko kina kushinda alafu unaleta ubabe unaonewa wivu.
Wivu gani ila huyu Znz naona kaambukiza mpaka wajinga.
Nchi ambayo tunaweza kusema mabeberu wanaona wivu ni china.Ambayo imejiweza kila aina ya nyanja.Beberu anaona wivu kwa kuwaletea mitumba kila siku?
😃😃😀😄Ni sawa una mke alafu jirani awe anawasaidia matumizi then kesho utangaze jirani anakuone wivu.SIO UCHIZI HUU JAMANI
NITAAANDIKA KUHUSU KUFANYA MONETIZES OF HUMANITYNchi ambayo tunaweza kusema mabeberu wanaona wivu ni china.Ambayo imejiweza kila aina ya nyanja.
Sasa hapa Hata dawa ya ukimwi inatushinda kununua.
A. Colonialists enzi za ukoloni ndio hao mabeberu.Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Ni kweli, ila tatizo letu ni box la kura kuchezewa, na watu kutekwa. Ukirudi ujue hakuna wajinga wa hivyo. Unaweza kujibu kwa ile id yako pia.NITAAANDIKA KUHUSU KUFANYA MONETIZES OF HUMANITY
UKIMWI
EBORA
N.K
NI PROJECT ZA MABEBERU WAO WENYEWE I WILL BACK
DEMOKRASIA NI MFUMO WA MABEBERU AMBAO WALIUANZISHA ILI UWASAIDIE KUWAGAWANYA NA KUUANA NYIE KWA NYIE ILI WAO WAJE WACHOTE NA KUIBA MALI KIRAHISINi kweli, ila tatizo letu ni box la kura kuchezewa, na watu kutekwa. Ukirudi ujue haku a wajinga wa hivyo. Unaweza kujibu kwa ile id yako pia.
Hii ni nadharia... Elezea Kwa mifano halisi hapa Tanzania wanafanyaje kutuhujumu?A. Colonialists enzi za ukoloni ndio hao mabeberu.
B. Wana sifa ya hadaa unyonyaji na wanatumia nguvu wakati mwingine kutaka kile wanachokitaka.
C. 1. Wana-distract focus (dira) ya nchi kupitia uongozi.
2. Vitishio vya usalama nchini.
Mfumo gani ambao si wa kibeberu unadhani unafaa kutumika kuendeshea nchi yetu. Na huo mfumo unafanyaje kazi?DEMOKRASIA NI MFUMO WA MABEBERU..
Mbona nahisi hili ni jambo unalolielewa vizuri ila ni kama una-challenge wanaJF? Au ninakosea kuamini unajua mengi?Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Hapa ni mjadala wa wazi ndugu yangu. Hatupigi ramli ya nani anajua nini... Tunataka hoja iwekwe hapa.Mbona nahisi hili ni jambo unalolielewa vizuri ila ni kama una-challenge wanaJF? Au ninakosea kuamini unajua mengi?
Mabeberu weusi wenye asili ya Oman wameuza bandari zote za Tanganyika na kumpa mwarabu, wakaua watanganyika ili wazidi kututawala. Maisha ya mtanganyika yanazidi kuwa magumu kila kukicha na hali inatabiriwa kuwa mbaya sana siku zijazo. Watanganyika tumekuwa watumwa ndani ya ardhi yetu wenyewe.Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Hata vifaa tiba, vyombo vya usafiri nk ni wao ndio wametuletea, lengo lao ilikuwa kuwagawa akina nani? Peleka propaganda za kijinga mbali. Ww ndio umeletwa humu kuja kutuhubiria uoaga uitwao amani, na kweli ukaja kichwakichwa ukidhani kuna waliolala kama huko vijijini uwahadae?DEMOKRASIA NI MFUMO WA MABEBERU AMBAO WALIUANZISHA ILI UWASAIDIE KUWAGAWANYA NA KUUANA NYIE KWA NYIE ILI WAO WAJE WACHOTE NA KUIBA MALI KIRAHISI
LEO WEWE UNANICHUKIA MIMI KISA SIASA ILA KAMA KUNGEKUWA HAKUNA HIZI SIASA MIMI NA WEWE TUNGEKUWA KITU KIMOJA
I WILL BACK