Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
na tuelezee mbuzi jike ni nani na anapelekewa moto na huyo beberu kwa style ya chuma mboga au kifo cha mendeKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Walitakiwa kudhibitiwa na polisi wana mbinu zao za kuwadhibiti watu kama hao na ndio maana wapo waliyokamatwa, sasa ukisema et kama wangeachwa nini kingetokea inakuwa kama vile kuuwa ndio kitu pekee ambacho polisi anaweza kufanya ili kudhibiti fujo kwa watu wasio na silaha ni kuwauwa tu kwamba kinyume na hivyo hakuna cha kufanya.Hapana mimi sikubaliani kuwa ndio sababu kutakuwepo na sababu nyingine muhimu zaidi juu ya yaliyotokea
Ila hebu tufikirie mkuu, kwa kasi Ile ya uchomaji wa miundombinu wale jamaa wangeachwa nini kingetokea?
Bado hujawaza kama niwazavyo MimiWalitakiwa kudhibitiwa na polisi wana mbinu zao za kuwadhibiti watu kama hao na ndio maana wapo waliyokamatwa, sasa ukisema et kama wangeachwa nini kingetokea inakuwa kama vile kuuwa ndio kitu pekee ambacho polisi anaweza kufanya ili kudhibiti fujo kwa watu wasio na silaha ni kuwauwa tu kwamba kinyume na hivyo hakuna cha kufanya.
Ndio maana inakuja hoja ya kutumika nguvu kubwa na matokeo yake imesababisha madhara hadi kwa wasiohusika pia kwa sababu walichokuwa wanakifanya hakikuwa tena kudhibiti bali lilikuwa zoezi la mauwaji tu.
UjaelewaSasa shida za Nyerere unawalaumu vipi wazungu
Kati ya watu siwezi sikiliza ni huyo mpuuzi ulomuweka hapoUjaelewa
Wazungu Wanatengeneza Mazingira ya Kutu Didimiza Kiuchumi
Sikiliza Hii Shule ya Uongozi ya Polepole Kwa Umakini Utaelewa Vizuri,👇👇
View: https://www.youtube.com/live/PsQ9EgrZMWU?si=21NkfDXTOBzJHPEf
Punguza Mihemko Mkuu,Kati ya watu siwezi sikiliza ni huyo mpuuzi ulomuweka hapo
Mchumia tumbo mmoja huyo enzi za jiwe alijiona Mungu mtu na kujizima data kwa kila hoja yenye mashiko anajibu upuuzi Leo kabanwa mbupu anajifanya darasa, darasa la nyoko!
Huwezi tafuta maarifa kwa shetani tafuta kiumbe sahihi wa kukupa maarifaPunguza Mihemko Mkuu,
Tafuta Maarifa Upate haki ya Kusikilizwa na Kuongea
Jaribu Kusikiliza hiyo Kuna Vitu Vingi Utavipata,Kati ya watu siwezi sikiliza ni huyo mpuuzi ulomuweka hapo
Mchumia tumbo mmoja huyo enzi za jiwe alijiona Mungu mtu na kujizima data kwa kila hoja yenye mashiko anajibu upuuzi Leo kabanwa mbupu anajifanya darasa, darasa la nyoko!
Huyo hana chochote cha kuniongezea chochote kichwani mwangu huwa anatabia ya kutafuta hoja zinazoendana na matakwa yake huyo ni wa kupuuzaJaribu Kusikiliza hiyo Kuna Vitu Vingi Utavipata,
Maana anatoa Ufafanuzi wa Kitabu Kimoja Kizuri Sana
Wenye Ufahamu Hawapo Ivo Kama Ulivo Jifunze Kusikiliza na Kutafuta Madhaifu ya Huyo Mtu,Huyo hana chochote cha kuniongezea chochote kichwani mwangu huwa anatabia ya kutafuta hoja zinazoendana na matakwa yake huyo ni wa kupuuza
Jua kumpuuza mtu mpuuzi utalinda heshima yako bila hivyo nawewe utakuwa miongoni mwa wapuuzi na unastahili kupuuzwaWenye Ufahamu Hawapo Ivo Kama Ulivo Jifunze Kusikiliza na Kutafuta Madhaifu ya Huyo Mtu,
Kama Hauwezi Kuhoji Kutokana na Kile Mtu alicho Kisema Basi Jua Kuna Siku Utapoteza Heshima yako Kwa Ku Mjudje Mtu Pasipo Kusikiliza kwa Makini.
Kuachwa kwa maana ipi unayokusudia wewe? Maana mie nimesema walitakiwa kudhibitiwa.Bado hujawaza kama niwazavyo Mimi
Ni kweli hawakutakiwa kuuliwa ila pia hawakutakiwa kuachwa waendelee kuchoma miundombinu
Ila kama ulishuhudia Ile kasi ya uchomaji vitu kwa muda mfupi unadhani wangeachwa nini kingetokea?
Unawezaje kuidhibiti kasi Ile ya uchomaji kwa muda mfupi ungekuwa wewe ungetumia mbinu gani kuwadhibiti?Kuachwa kwa maana ipi unayokusudia wewe? Maana mie nimesema walitakiwa kudhibitiwa.
Wewe una maana gani unaposema kuachwa?
Mabeberu wapo hapahapa Tz. Wameuza bandari, waeuza KIA, wameuza migodi, wamefukuza wamasai kule ngorongoro wakawaweka waarabu, wamechafua kwa 98%, wameuwa ndugu zetu kwa risasi etcKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Huu ubonho au kamasi! Sheria ya wapi inaruhusu kupiga risasi waandamanaji wasio na slaha? Watu wamepigwa risasi migongoni wakiwa wanakimbia, wakiwa wamesimama zaidi ya watu 2 2anapigwa risasi, wakiwa majumbani wanapigwa risasiUnawezaje kuidhibiti kasi Ile ya uchomaji kwa muda mfupi ungekuwa wewe ungetumia mbinu gani kuwadhibiti?
Kwani siku zote au kwa kawaida polisi huwa wanatumia mbinu zipi kudhibiti waharifu pasina kuwauwa? Halafu niambie kama hizo mbinu za kawaida zilitumika ila ikashindikana kudhibiti hao waharifu?Unawezaje kuidhibiti kasi Ile ya uchomaji kwa muda mfupi ungekuwa wewe ungetumia mbinu gani kuwadhibiti?
Mimi sijakataa na sijaunga mkono nimemuuliza mdau angetumia njia gani kudhibiti kasi ile ya uchomajiHuu ubonho au kamasi! Sheria ya wapi inaruhusu kupiga risasi waandamanaji wasio na slaha? Watu wamepigwa risasi migongoni wakiwa wanakimbia, wakiwa wamesimama zaidi ya watu 2 2anapigwa risasi, wakiwa majumbani wanapigwa risasi
Kiwango chako Cha Kufikili Kipo Chini Sana,Jua kumpuuza mtu mpuuzi utalinda heshima yako bila hivyo nawewe utakuwa miongoni mwa wapuuzi na unastahili kupuuzwa
Kwa uzoefu wangu ghasia kama zile ni mara ya kwanza kutokea Tanzania kwahiyo kuniuliza wanatumiaga mbinu gani sijui labda uniambie wewe uliewahi kushuhudiaKwani siku zote au kwa kawaida polisi huwa wanatumia mbinu zipi kudhibiti waharifu pasina kuwauwa? Halafu niambie kama hizo mbinu za kawaida zilitumika ila ikashindikana kudhibiti hao waharifu?