PostGE2025 Elezea kinagaubaga jinsi mabeberu wanavyohujumu nchi yetu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kiwango chako Cha Kufikili Kipo Chini Sana,
Ufahamu unatokana na Kusikiliza
Ukimsikiliza shetani nawewe utakuwa shetani huwezi pata busara yoyote kutoka kwa shetani zaidi ya ushetani
 
Kwa uzoefu wangu ghasia kama zile ni mara ya kwanza kutokea Tanzania kwahiyo kuniuliza wanatumiaga mbinu gani sijui labda uniambie wewe uliewahi kushuhudia
Twende kwa kadri ya uzoefu wako, kwa uzoefu wako katika ghasia zengine ambazo umewahi kuzishuhudia polisi huwa wanafanyaje ili kudhibiti ghasia pasina kuwashoot watu kwa kuwauwa? Hebu niambie huwa wanafanya nini.
 
Sijawahi shuhudia ghasia kama zile hivyo sijui wanafanyaje ndio maana nikakuuliza wewe huenda una uzoefu
 
Sijawahi shuhudia ghasia kama zile hivyo sijui wanafanyaje ndio maana nikakuuliza wewe huenda una uzoefu
Sijakwambia ghasia kama zile nimekwambia katika hali ya kawaida ghasia ambazo umewahi kushuhudia wewe uliona polisi wanatuliza vp ghasia?
 
Kama kuna mabeberu maana yake kuna majike, hayo majike ni kina nani?
 
Sijakwambia ghasia kama zile nimekwambia katika hali ya kawaida ghasia ambazo umewahi kushuhudia wewe uliona polisi wanatuliza vp ghasia?
Huwezi fananisha ghasia nyingine na zile za October 29 zile ni za aina yake ndio maana zinakumbukwa
 
Kalibia asilomia 99 ya watawala Africa wana account over seas Kwa mabeberu wakiumwa wanaenda kutibiwa Kwa mabeberu hizi non sense zakuonea wivu wakawauzie vichwa panzi wavivu wakufikiri,
Wanakula sahani Moja ma mabeberu kutuhujumu wananchi wa chini kabisa
 
Huwezi fananisha ghasia nyingine na zile za October 29 zile ni za aina yake ndio maana zinakumbukwa
Wewe jibu kisha ndio tupime kama hizo njia za kuzuia ghasia zengine zingeweza kuzuia au zisingeweza kuzuia ghasia za oct 29.
 
Wewe jibu kisha ndio tupime kama hizo njia za kuzuia ghasia zengine zingeweza kuzuia au zisingeweza kuzuia ghasia za oct 29.
Unalazimisha nijibu kitu nisichokijua wala kuwa na uzoefu nacho ili iweje

Wewe mwenye majibu yaweke hapa maana unaonekana una uzoefu hebu tuambie kwa kasi Ile ya uchomaji kwa muda mfupi mbinu gani hutumika kudhibiti?
 
Hata bunduki mnazotumia kuchapia Rai ni za mabeberu earudishieni mtumie mapamga na manati ndo vyenu wanatamba ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…