Nyinyi ccm wote ni 🚮 tu kwenye hii nchi. Hakuna hata mmoja wenu mwenye unafuu.Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.
Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.
Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini.
Mpina ajitafakari
Hahaa kichaa kapora taulo langu,haina Haja ya kufukuza nikiwa uchi,nazan umenielewaSina chuki mkuu, halafu ili uelewe hoja zangu lazima uwe na akili, kama huelewi, basi ujue huna
Kingu lile papai kabisaMmmh.... Kingu naye ni wakuaminiwa!!?😀😀😀😀😀