chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.
Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.
Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.
Mpina ajitafakari.