Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
Screenshot_20240624-221831.jpg
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini.

Mpina ajitafakari
Nyinyi ccm wote ni 🚮 tu kwenye hii nchi. Hakuna hata mmoja wenu mwenye unafuu.
 
Back
Top Bottom