Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira

Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa mwanafunzi hawa wanafunzi wenu wako hovyo kabisa huku mtaani na mtaendelea kuwaonea shule za umma kwasababu shule nyingi za binafsi wao wanachujua kutembeza bakuli ili waendelee kufanya biashara

Zamani mapambano,mzumbe au mchikichini ilikuwa hot cake ila sasa ni takataka tu,shule nyingi zilizofaulisha sana ni wahongaji tu ili waendelee kufanya biashara tu

Nawapongeza mikoa ya pwani kwetu elimu hii ya makaratasi ni kupoteza muda tu kwasababu haisaidii chochote kile zaidi ya kuzalisha mafisadi tu
 
Mkuu mtaani utawakuta wapi watoto waliosoma kemebos,st.francis ilboru n.k angalia wazazi wa hizo shule kiuchumi au kielimu wakoje na hao watoto wakoje ? Acha uongo huko mtaani wengi waliojaa ni mburahati wenye zero kama zote

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mbona huku kata hamna izo..Umaskini mbaya sana madogo wengi wa private Wana PC shule tangu fomu one na Kuna computer rooms wanasoma na kutafuta materials online, vocation safi kupumzisha akili na kujifunza, chakula safi.

Wewe kajamba 8 unatembea kilometer kibao ukifika shulrumechoka mwili mpaka akili ,computer au oc kwako ni kitu cha ajabu maana hata wazazi hwazijui...shule mmepigwa mshakaki darasa moja mko 70.
 
Back
Top Bottom