Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira

Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa mwanafunzi hawa wanafunzi wenu wako hovyo kabisa huku mtaani na mtaendelea kuwaonea shule za umma kwasababu shule nyingi za binafsi wao wanachujua kutembeza bakuli ili waendelee kufanya biashara


Zamani mapambano,mzumbe au mchikichini ilikuwa hot cake ila sasa ni takataka tu,shule nyingi zilizofaulisha sana ni wahongaji tu ili waendelee kufanya biashara tu

Nawapongeza mikoa ya pwani kwetu elimu hii ya makaratasi ni kupoteza muda tu kwasababu haisaidii chochote kile zaidi ya kuzalisha mafisadi tu
 
Back
Top Bottom