Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Ndio na unaweza ukatolewa TZ ukaenda kua Padre Pakstani huko au Afghanistan yaan hapo utaanza kujifunza lugha na kila kitu mpaka Tamaduni na Mila na Desturi zao hukoWeeee. Sekta hiyo ni wito aseeeeeee maana. Padri ni mali ya kanisa , na ndio maana hakienda kwao hata kuzika tuu mzazi wake haruhusiwi kulala nyumbani kwao , analala parokiani aseee
Na hata padri akifa anazikwa na. Askofu wake / jimboni au any seminary around that jimbo.....