Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Kumbe hio Dkt. ni ya kupewa kiheshima hajaenda kubukua?😅😅Wazee wa Phd za kupewa hata kuandaa ripoti hawajui .
Huyu Mzee Mufti & Shekhe Dkt. Mkuu Abubakar Bin Zuberi Mimi namkubari kuna kile kipindi cha Ramadhan alikua anafundisha safi sana huyu sijajua elimu yake tu Ila yupo vizuri