smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
huu uzi umekaa kimtego sana kwa wafia dini.
kama nawaona vile wanavyoumizwa na kiwango cha juu cha elimu ya mapadre na maaskofu.
wanajiuliza weingie kwa hoja ipi ili kuuvuruga uzi. waingie kwa hoja za mfumo kristu,hapana.
waingie kwa hoja za walaka wa TEC kuhusu bandari, hapana. waingie kwa hoja yesu sio Mungu, hapana.
yaani uzi umewavuruga mno. asante sana mleta mada kwa uzi bora. endelea kutupa maarifa.
NB:
linapofika suala la knowledge, kwanini jesuits priest wanachukuliwa kama watu wenye upeo wa hali ya juu sana ndani ya ukatoliki?. je mfumo wao wa kutafuta maarifa unafanana na mifumo wanayopitia mapadre wa mashirikia mengine au wa kwao upo tofauti?.
lakini pia, kwanini mapadri wa mashirika mengine wanakuwa inferior sana mbele ya mapadre wa jesuits?, ni kama wanaingiwa na uoga fulani. kuna siri gani hapa?.