Elimu kuhusu Padre na Upadre wa kanisa Katoliki

Ndio na unaweza ukatolewa TZ ukaenda kua Padre Pakstani huko au Afghanistan yaan hapo utaanza kujifunza lugha na kila kitu mpaka Tamaduni na Mila na Desturi zao huko
 
Ndio na unaweza ukatolewa TZ ukaenda kua Padre Pakstani huko au Afghanistan yaan hapo utaanza kujifunza lugha na kila kitu mpaka Tamaduni na Mila na Desturi zao huko
Wa shirika ndo hivyo mzee , ila wa jimbo ni wewe tuu jimboni humo ndani ndani uki rotate parokia , au vigango
 
Wale ni maajenti wa roma.
Ni mapadre wa Shirika hata hapa wapo wengi tu wanaotoka mataifa ya nje wakija ndio hivyo yanakua makazi yao hadi wanazeeka huku huku na wabongo wakipangiwa huko mbali wanaenda kuzeekea huko huko
 
Sisi kwetu ukijua kucheza judo na kudaka visu tayari una kua bwana mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…