Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi




Mnh ! [emoji14][emoji14][emoji14]

Unazungumzia basing on what?

Kuna utafiti wowote umefanyika ukapata taarifa ya huo utafiti?

Hiyo ni hypotheses tu ambayo haijathibitika!

Ibaki ni mtazamo wako tu binafsi lakini siyo kwa watu wote.

Wanaume wenye maono makubwa (Big visions) kwao kuoa mke msomi na mke kujaliwa Neema ya fedha wanaona fahari na kumtukuza Mungu kwa taarifa yako!

Tembea uone [emoji2149][emoji133] [emoji38][emoji38][emoji38]

Tanua hema yako, tujifunze zaidi , admitting a weakness is a halfway point towards better improvement.
 
Wahuni tuseme mara ngapi kwamba Vijana achaneni na ndoa kama mnaona hamuwezi kuishi na wanawake wa kisasa.....

Kijana tafuta level zako... Ishi na mwanamke wako the way unataka kuishi.. Acha kulalamika kila siku..

Ubao bado unasoma 3-0..wanawake wanatukimbiza sana... Malalamiko yamekuwa mengi sana kwa masela...
 
Mke akipata Neema ya fedha mara nyingi Neema ile huakisi hadi kwa mumewe [emoji108]

Na akipata mkeo wamepata na watoto wako ulozaa naye eventually. [emoji108]

Ndio maana wanaume wenye akili kubwa wanafurahi sana na kujivunia kuona wake zao wanabarikiwa zaidi na Mwenyezi Mungu kwa kuinuliwa
Kiuchumi ni baraka kwa familia nzima .

Uchumi saingine huwa kama bahari unakupwa na kujaa.

Bread earner wa familia hapaswi kuwa baba peke yake na mama anapaswa kuchangia ili ikitokea mtikisiko kunakuwa na afadhali.

Siyo baba akikosa au asipokwepo watoto wanaacha kusoma academie school wana rudi kusoma changanyikeni ambapo hali hiyo huwa ingawa frastrute sana watoto wengine huacha Shule mazima maana wanahisi kila mtu kuwa embarrass kumbe ni psychological tu.


Inabidi kujifunza zaidi jinsi ya kuwa Optimistic.
 
Nimependa line ya mwisho ulivyomalizia basically mtoa mada amejikita kwenye matusi zaidi ya kuitetea hoja yake ila it is wat it is
 
Ada za Shule za kueleweka kuanzia Shule za awali ni mamilioni [emoji108]

Kuanzia baby classes, pre units nakuendelea ni malaki, milioni na kuendelea [emoji108]

Shule za msingi ni hivyo hivyo kuanzia darasa la kwanza ni zaidi ya milioni moja , direct fee, usafiri, chakula n.k. Na mazingira mazuri walau kidogo hata vyooni siyo mashimo hatarishi kwa matumizi ya binadamu.

Familia ya watoto 2-3 Ada itakuwa milioni ngapi?

Hata kama zitalipwa ka awamu 2-3 lakini wakishakuwa watoto 2-3 wote wasome Shule hizo zitawatoka milioni 2-3 [emoji108]

Bado mahitaji ya msingi ya nyumbani yanabaki pale pale kwa waliopo chakula, malazi na mavazi n.k

Bill za maji na umeme , kodi za serikali mfano rent n.k ziko pale pale.

Kama mafuta ya gari na regular services ziko pale pale [emoji108]

Halafu iwe ni mwajiriwa wa fixed income wewe Mwanaume uyafanye hayo peke yako bila mke kuchangia hata cent?

Hata kama ni mfanyabiashara biashara saingine huwa kama bahari kupwa na kujaa je ikiwa kupwa?!

Lilokushinda kushinda kulila bora usilitie ila !
 
Bibi uliyejicha kwenye avatar fake, nungaiyembe sugu, Sisi mbona tumeshaoa, tuoe mara ngapi. Mwanake uko lonely usiku wote huu unadanga mitandaoni wenzako wamekumbatiwa wewe umeshupaza kine.mbe kujibishana mitandaoni.

Wewe uliyeoa mbona uko JF night kali?? Mkeo kakumbatiwa na nani??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waambie hao, na sio Kuyumba tu. Imagine umetangulia watoto watakula msoto kiasi gani kuingia maisha mapya yasiyoeleweka
 
Kwanza kabisa kabla hujafikia hatua ya kuoa mwanamke yeyote lazima uwe unamjua au kumfahamu vizuri na ndiyo maana kuna kipindi cha uchumba hicho kipindi ni muhimu sana ukikitumia vizuri huwezi pata shida sana huko mbeleni kwenye ndoa na hakuna asiyekuwa na mapungufu ,kabla hujaoa jipime jee mutawezana ndani ya ndoa??
 

Nyenye nyenye nyenye mnaongea tu vitendo ziro utaweza kusomesha wadogo zangu wewe ukahakikisha wanapata mahitaji yote wengine kwetu hakuna wasomi wala wenye hela mzazi kaangaika kunisomesha ili ata niwasaidie kwa chochote
Afu uje useme niache kazi niwe mama wa nyumbani utahudumia wewe wazazi wangu
watu wenyewe mkipata vihela mnawaza muongeze wanawake upuuzi
wanawake waliosoma wataolewa na wasomi wenzao na wanawake wenye kazi wataolewa na wanaume wanaojitambua wenye kazi pia
 
Kunywa sparletta nalipa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…