Pimbikantyobo
Member
- Oct 25, 2018
- 5
- 7
Acha upumbavu ccm ww umetumwa nn?njaa zitakuua ww.Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Mpaka sasa hatujashitakiwa MIGA, lakini tulikoshitakiwa na ACACIA ni kubaya zaidi, kwa taarifa. Kwa taarifa pia, Lissu ni mmoja wa wachache waliomtahadharisha Mkapa juu ya mikataba mibovu aliyokuwa anaingia, naye akafoka kwamba akina Lissu ni WAVIVU WA KUFIKIRI. Ni Lissu aliyewatoa magerezani watu zaidi ya 400 huko Tarime na Nzega, ambao walikuwa na mashitaka feki ya aina mbalimbali, hadi "Mauaji". Lakini kosa lao kubwa kabisa ni "kidomodomo" kuweka wazi ukuwadi wa viongozi wa CCM kushirikiana na makampuni kuwanyonya watanzania. Ni serikali ya CCM ambayo imekuwa ikiyalinda makampuni ya madini yasiwajibike kwa uchavuzi mkubwa unaofanywa, angalia tafiti hizi kama mfano mdogo tu:Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hata kumjua mtu inahitaji elimu: Je elimu yako ni ya kiwango gani????Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Hahahaaa ccm wote akili zinafananaUpumbavu ndiyo kiwanda pekee hapo ufipa
Sasa na PHd yako unashindwaje kumwelewa Lisu
Vip kuhusu jiwe,elimu yake inamsaada kw watanzania?? Kama lisu hana msaada nchini kwanin ninyi misikule ya lumumba mnaendelea kumkumbuka ??? Kwa taarifa hii inadhihirisha mchango mkubwa wa lissu katika kupigania masilahi ya watanzania wanyonge kuliko maccm mfu kuliangamiza taifa.DAB na MUSIBA Elimu zao zina msaada mkubwa kwa jamii!
AG anamchango gani kwa taifa kama sio kupendekeza bared law.Lissu ndiye mzalendo halisi mwenye uchungu wa kweli wa mali za umma zetu. Hiki halina ubishi.
Na sis swali letu ni moja,jiwe anafaida gani kwa taifa??Kwani elimu ya mleta mada ina faida gani kwanza?
Anaitumia kufanyia ukuwadi wadhungu dhidi ya taifa lake,hafaiLisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?
Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?
Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.
Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Wanapigwa sarakasi za hatari.hata hawaelewi wakamdai nani?Hivi zile noah zimeishia wapi?
PhD yangu ni ya kulinda masilahi ya taifa kwa gharama yoyote ile .
Lisu anatoa siri na mabepari kunyonya nchi yetu