Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

*"Erick Kabendera is not the only victim of Mage's reign of terror. He is one of an increasingly long list of opposition leaders and activists, journalists, bloggers, and civic leaders who have been targeted due to their political opinions."

Us or Else....
 
Na ya mama yako ina msaada gani kwa taifa kutuzalia tahira wewe?
 
Aisee nyie wanyarwanda Lissu au elimu yake inawahusu nini?
 
Majina ya hussen ni mapunga wote
Mtoto elitwege katika ubora wako
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.

Kwa kuwa unajua fika kwamba yako haina faida, usidhani na ya kila mtu nayo ni hivyo hivyo...let alone ya Lissu
 
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ?

Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya?

Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi.

Elimu yako haina faida kwa watanzania na unatakiwa urudishe kodi zetu tulizotumia kukusomesha .
Haiwezekani usomeshwe na watanzania alafu ukatumikie mabepari.
Vipi elimu yako ukiacha Taifa wazazi wako kule kijijini imewasaidia nini
 
Back
Top Bottom