Ni kweli Nape Nnauye FORM SIX alimalizia NSUMBA HIGH SCHOOL MWANZA na hakufaya VIZURI ni ile FOUR ya point moja kuwa 0 ---- Lakini CCM wakampeleka INDIA kupata Degree
Riz1 yeye alikwenda LONDON kwa LLM -- akafeli vibaya mwaka wa kwanza; kumbe UD alikuwa anaibiwa MITIHANI
Kumbe Baba yake nape mnamjua sasa mapovu yote yalikuwa ya nini
chama najua wewe ni swahiba wa @nnauje jr hebu mshauri basi aje atoe details zake za kutosha juu ya elimu yake. Kipaji cha uongozi ni tofauti na elimu jamani.
Mbona John Mnyika kafanya hivyo na kasema kweli hakumaliza na sasa kila mtu anajua Mnyika siyo grafuate. Ni bora kama Nape alianzisha jambo hilo nae aje alisemee kwa sababu ni membef humu na kwa hali ilivyo kauli yake inahitajika.
Mkuu Mzee wa Rula
Mbona unataka kulazmisha mambo? Mimi @Nnauye Jr namsoma JF hatujuwani wala hatuna sababu za kukutana; sasa aweke kitu gani? Nenda Mzumbe University utaliona jina lake ni mhitimu wa Masters
Chama
Gongo la mboto DSM
chama sorry kwa kufikiri upo kama Nape Nnauye karibu kumbe na wewe unamsoma na kumuona majukwaani kama hapa!!
Ok lakini ili kuondoa utata angeanza kuelezea matokeo yake ya form four, six kama alifika na vyote kuvijata akivyosomea na kusema alisomea nini hadi hapo alipofika MA ya Mzumbe itakuwa imekidhi haja.
Hata nime mention labda akiingia anaweza kuja na kujibu hoja ubusy ukipungua.
Mkuu Mzee wa Rula
Nimekueelewa ila hayo majibu ya Nape Nnauye ya form 4 na 6 yasaidia nini? Hivi sasa akitaka kuomba kazi atonyesha tu amesoma kidato cha 4 & 6 ila vyeti vitavyotakiwa ni digrii na masters yake.
Chama
Gongo la mboto DSM
acha ujinga wewe, vyeti huwa vinatakiwa vyote
Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno Riz One na yule dada yake aliyepata sifuri Feza Sec hawatofautiani
mkuu inaelekea ww hujawah kuajiriwa/ au hujui/ au unadanganya kwa maksudi.Mkuu Mzee wa Rula
Nimekueelewa ila hayo majibu ya Nape Nnauye ya form 4 na 6 yasaidia nini? Hivi sasa akitaka kuomba kazi atonyesha tu amesoma kidato cha 4 & 6 ila vyeti vitavyotakiwa ni digrii na masters yake.
Chama
Gongo la mboto DSM